mayenga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 4,118
- 1,966
ni juzi tu baba na mama yangu wameadhimisha miaka 50 ya ndoa yao.Moja ya vitu vyenye kuvutia,ni pale unapoangalia wawili hawa katika uzee wao wenye siha wanvyofanana kwa sura.Ninngependa kuuliza wanajamvi ,huku kufanana kwa wanandoa kunasababishwa na nini.Kwa kumbukumbu ya picha zilizopo,inaonekana kipindi wanaoana kila mmoja alikuwa na sura yake,lakini umri unavyokwenda sura zinashahabiana.Kwanini?