Sasa nawapa sababu ya kibiologia, kwenye macho kuna lens ambayo uchukua picha ya mtu na kuipeleka kwenye cell DNA sehemu inayoitwa allele (Locus), kwa vile mwili uumbwa kila siku, hivyo basi sehemu ya nje ya mwili inapoondolewa uja sura ya ndani yenye sura ya huyo uliyemuangalia kwa kuda mrefu,Labda ndio ile kitu inasemwa kuwa wanaungana na kuwa mwili mmoja.Maana wanasayansi wanatuambia hivi tulivyo ni matokeo ya kile tunachokula, tunachofikiri na tunavyofanya/fikia maamuzi. So kama wanashare kila katika hivi wanaweza kufanana. Mwenye taarifa za ndani anawea kutujuza mengi zaidi!
50 years of marriage? that's great by any standards... kufanana is just a myth, i guess
ndo love itizame na sura
utakuwa zamadamu baada ya miaka10 bure.
Absolutely, kila mnavyo pendana ndo mnazidi kufanana.
Sana sana afu hata dunia unaona ina anza kwenda slow motion kwa raha.inapendeza sana yaani!
Miaka 50? wewe ubabu na ubibi wao umekuchanganya sana thats why waona wanafanana coz hata yale mapengo ya baba yako huna tym nayo. anyway kwa wapemba si kitu cha ajabu coz wao wanaoana kaka na dada yaani kwa mjomba na kwa shangazi. mfano mzuri ni Dr. shein na mkewe ana amai karume na mkewe!ni juzi tu baba na mama yangu wameadhimisha miaka 50 ya ndoa yao.Moja ya vitu vyenye kuvutia,ni pale unapoangalia wawili hawa katika uzee wao wenye siha wanvyofanana kwa sura.Ninngependa kuuliza wanajamvi ,huku kufanana kwa wanandoa kunasababishwa na nini.Kwa kumbukumbu ya picha zilizopo,inaonekana kipindi wanaoana kila mmoja alikuwa na sura yake,lakini umri unavyokwenda sura zinashahabiana.Kwanini?
The most credible hypothesis ni kuwa unapokua toka utotoni mpaka unafikia utu uzima the most women you know most is your mother and ur sisters. So standard yako ya kupima uzuri wa mwanamke ni dada zako au mama yako! your likely to choose a woman who looks like your sisters kuliko vinginevyo! Mtu anayefanana na dada zako lazima afanane na wewe.
Nilipo mtambulisha mchumba wangu nyumbani mara ya kwanza mama yangu aliniambia ''she look like my daughters"
possible answer: frequent and long term exchange of genes during sexual intercourse may be the reason
ni juzi tu baba na mama yangu wameadhimisha miaka 50 ya ndoa yao.Moja ya vitu vyenye kuvutia,ni pale unapoangalia wawili hawa katika uzee wao wenye siha wanvyofanana kwa sura.Ninngependa kuuliza wanajamvi ,huku kufanana kwa wanandoa kunasababishwa na nini.Kwa kumbukumbu ya picha zilizopo,inaonekana kipindi wanaoana kila mmoja alikuwa na sura yake,lakini umri unavyokwenda sura zinashahabiana.Kwanini?
Sio kwa Binadamu tuu hata vtu na wanyama wakiwa pamoja muda mrefu kwa wewe unaeviona huwa unaona vina fanana kabisa. babu yangu alikuwa na gari aina ya Anglia kakaa nayo toka tunapata akili mpaka na sie tumeanza kutafuta zetu. Alipofariki tukawa tunaiona gari kama yeye mwenyewe kabisa. Jamani hamuezi kuamini.Sio wanandoa tu, hata wapenzi na marafiki wakiwa pamoja muda mrefu hufanana.