Namba 3 inanihusu. Mshikaji anapiga mchepuko mpya Karibu kila siku, na ukijaribu kumshauri anakwambia LIFE IS TOO SHORT. Sijui linangoma? Halafu eti dume alishaacha kutumia longtime kitambo.
Aaaah Njia kuu zimepasuka lami zimebaki pana MKUU ambako hata kitabu cha dini kinasema waingiaaooo ni wengiiimaisha yenyewe mafupi haya ebo.... ndoa kitu gani mkuu!!!
Kwani nini kwani kuna mtu anatumia ya mwenzie?????
Hahahahahahaha una maanisha mkuu wanapeana go aheadMi huwa nashangaa sana pale mtu anapomsifia ndugu/rafiki yake kuhusiana na mchepuko mbele ya mke/mume wake. Yani ni kamavile anakuwa anatangaza kuwa "ni poa tu, hata sisi tutafute kila mtu na wake".