uuwwwiiiii wengine hatukui kwa waume zetu, hata kama wao siyo "oldman"Hako ka namba nne bibi yenu anakapendaga sana.
Hako kanamba sita kananihusu kwenye mechi za majaribio.
Msimwambie bibi yenu tafazali.
uuwwwiiiii wengine hatukui kwa waume zetu, hata kama wao siyo "oldman"
namba 7 ndo napata usingizi mnonoooooooo! hakuna nightmares.
Hebu msidanganyane wengine wanalala kama pono hata kama mlikumbatiana mkianza kuutafuta usingizi mkiamka mwengine miguu kamuwekea mwenzie kichwani lol
Babu nami natafuta style nzuri ya kulalia nikikumbatia kamto kangu!!We binti unafanya nini huku kwa wakubwa?
Hako ka namba nne bibi yenu anakapendaga sana.
Hako kanamba sita kananihusu kwenye mechi za majaribio.
Msimwambie bibi yenu tafazali.