Wanandoa: Angalia hizo picha

Wanandoa: Angalia hizo picha

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,685
Hebu angalia hizo picha hapo kwa umakini sana halafu uniambie kuna ukweli wowote katika maana zilizotolewa kwenye hizo aina za ulalaji wa mtu na mpenzi wake!??
Niambie WEWE na YEYE mnahusika kwenye ipi zaidi kati ya hizo hapo juu!!?? na ukiangalia aina yenu ya ulalaji inaendana na jinsi mahusiano yenu yalivyo...!?

1.
Meaning_of_Sleeping_Positions_01%255B1%255D.jpg


2.
Meaning_of_Sleeping_Positions_02%255B1%255D.jpg


3.
Meaning_of_Sleeping_Positions_03%255B1%255D.jpg

4.
Meaning_of_Sleeping_Positions_04%255B1%255D.jpg


5.
Meaning_of_Sleeping_Positions_05%255B1%255D.jpg


6.
Meaning_of_Sleeping_Positions_06%255B1%255D.jpg



7.
Meaning_of_Sleeping_Positions_07%255B1%255D.jpg



8.
Meaning_of_Sleeping_Positions_08%255B1%255D.jpg


9.
Meaning_of_Sleeping_Positions_09%255B1%255D.jpg


10.
Meaning_of_Sleeping_Positions_10%255B1%255D.jpg


"Meaning Of Sleeping Positions"

LET 'S SHARE
 
ha!ha!ha! Ngoja niwe mtazamaji na msomaji.
 
^^
Zote hutumiwa kwa kutegemea msimamo wa akili, hali ya hisia na maelewano ya wanandoa.
^^
 
namba 8 ndo zetu wenye miaka mingi kwenye fani
 
uuwwwiiiii wengine hatukui kwa waume zetu, hata kama wao siyo "oldman"
namba 7 ndo napata usingizi mnonoooooooo! hakuna nightmares.

Hahah shem akilala hivyo kwa masaa manne lazima kesho umkande mgongo.
 
Hebu msidanganyane wengine wanalala kama pono hata kama mlikumbatiana mkianza kuutafuta usingizi mkiamka mwengine miguu kamuwekea mwenzie kichwani lol
 
Hebu msidanganyane wengine wanalala kama pono hata kama mlikumbatiana mkianza kuutafuta usingizi mkiamka mwengine miguu kamuwekea mwenzie kichwani lol

We binti unafanya nini huku kwa wakubwa?
 
Hako ka namba nne bibi yenu anakapendaga sana.

Hako kanamba sita kananihusu kwenye mechi za majaribio.

Msimwambie bibi yenu tafazali.

Mi namba 1 ni special kwa mechi za ugenini tu
 
Dah hiyo number sita na hili joto hasira la huu mji hapana sitapata usingiz...hiyo number saba ndo katamu..
 
Back
Top Bottom