Wananchi wavamia shamba la Nabii Josephati Mwingira Break Throw Mapinga

Wananchi wavamia shamba la Nabii Josephati Mwingira Break Throw Mapinga

Temitope Joshua
tb_joshua3.jpg

Church: Synagogue Church Of All Nations (SCOAN)
Estimated net worth: $10 million – $15 million (N1.5b- N2.5b)
Tuseme hawa wako level moja na Musa, Daud, Zakari, Yusuf, Suleiman, Nuhu, Yahaya ! Daaah ! WAGALATI NI NOMAAA!
 
Nabii mussa, daudi, selemani, mtume mudi nk ni manabii walikuwa na majeshi kuliko hata mwingira hata yesu alikuwa anatumia nguvu eg hekaruni, kwa hiyo Mwingira kutumia nguvu kudai mashamba yake ni jambo la kawaida sana kwenye biblia.KUMBUKA BWANA YESU NI BWANA WA VITA
Wewe usipotoshe watu! Yesu hakuwahi hata kufunga kisu kiunoni, na alikua na wasaidizi 12 tu!
 
Wewe usipotoshe watu! Yesu hakuwahi hata kufunga kisu kiunoni, na alikua na wasaidizi 12 tu!
Acha kujibu bila reference
soma luka19:45.. Yesu alitumia nguvu kufukuza wahuni hekaluni .Luka22:51 Wanafunzi wa yesu walikuwa wanatembea na mapanga , na kwa taharifa yako katika wanafunzi wa yesu kila mmoja alikuwa na majukumu mengine ya kidunia e.g Yuda alikuwa muhasibu wa yesu.
 
Nchi hii ukijifanya mjuaji wakati una doa lolote, watu wanaenda hata na vijiti kufukua kaburi lako.
 
Nchi hii ukijifanya mjuaji wakati una doa lolote, watu wanaenda hata na vijiti kufukua kaburi lako.
kumbe jamaa ni mpuuzi hivi.
na hizi habari ni za 2011. kipindi cha msoga..

sema inaonesha jiwe alikuja kumbinya mahali.
nazidi kuamini watu wengi waliokutana na madhila ya jiwe ndiyo wana mu attack sanaaaaaa.
 
Kuna watu walifanya nchi ya bibi zao, hao ndiyo waliipata sana. Wameamua kuja na comeback ila huyu kabugi kabisa, mwenzake Zitto alikuja nayo kuhusu kuchomewa shamba. Yeyr kaamua kutaja jingine, ambalo ni kubwa zaidi kuhusu taasisi iliyopita, ukumbuke ukimtaja Rais unagusa taasisi na si mtu. Sasa wale waliyokuwa ndani humo hawawezi kukuacha hata kama muda umepita. Sasa huyu anakuja kusema suala la mauaji, mwenzake Zitto kataja vitu vidogo sana. Ila hilo hawamwachi.

ZZK siyo mjinga na hakuona kama kuna jambo kama hilo, kajua angeingia shimoni. Kapiga kofi asipoweza kuchukuliwa hatua
 
Back
Top Bottom