Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

hapo vijana wa kijitonyama hawajamfuata hukohuko, amuulize mzee kambona kwanza.
 
Hotel haiwezi kupigwa mnada bila kufuata taratibu!!

Law Firm/Dalali atakae pewa hiyo tenda lazima akatae au aombe kufuata taratibu.

Moja ya hatua hizo ni kumuandikia barua ya wito mdaiwa na kumuomba kulipa kwa hiari. Pia onyo la mwisho na baadae Notice ya siku kadhaa iwapo atashindwa kulipa.

Familia wana haki ya kuzuia mnada huo Mahakamani coz hawana taarifa na taratibu hazijafuatwa.

Hizi siasa ktk sheria ni ujinga. Ni kujaza kesi mahakamani tu zisizo na tija na mwishowe mahakimu kuzitupa.
 
Acha uongo sema CHADEMA usichanganye habari
 
Bashite ni chakula live pozi gani hilo la kumapapasa mwanaume mapaja
Huyo basha ni nani vile. Naona anavuta hisia kwelikweli. Acheni kutengeneza picha za udhalilishaji wana JF. Sitaki kuamini kama ni kweli
. Hii itakuwa Photoshop, na kuanzia sasa ninajiamisha hivo ili angalau nisimkosee adabu
 
Soma kwanza dogo!!!
Iv muuza ngada ni nan?
Kuna kesi serious ya muuzaji madawa unayo ijua? Katka utawala huu wa 5?
 
Reactions: Pep
OK anadaiwa kodi kiasi gani?
acha uduanzi we we tumia kichwa kufikiri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…