Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
12,984
2,000
Watu wengi wameoneshwa kusikitishwa na jambo lililomkuta Mange Kimambi kuhusu kupigwa mnada kwa Hoteli ya familia yao ambayo Mange anahisa 25%. View attachment 484634
Kwa kuonyesha masikitiko yao juu ya jambo hilo, watu wengi wamemuomba Mange atoe namba ya Akaunti wamchangie ili aweze kulipa deni wanalodaiwa. View attachment 484635 View attachment 484636
Je, hii inaonyesha ishara gan. Ni kwamba Mange anakubalika sana au?
hapo vijana wa kijitonyama hawajamfuata hukohuko, amuulize mzee kambona kwanza.
 

Enzymes

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
4,344
2,000
Hotel haiwezi kupigwa mnada bila kufuata taratibu!!

Law Firm/Dalali atakae pewa hiyo tenda lazima akatae au aombe kufuata taratibu.

Moja ya hatua hizo ni kumuandikia barua ya wito mdaiwa na kumuomba kulipa kwa hiari. Pia onyo la mwisho na baadae Notice ya siku kadhaa iwapo atashindwa kulipa.

Familia wana haki ya kuzuia mnada huo Mahakamani coz hawana taarifa na taratibu hazijafuatwa.

Hizi siasa ktk sheria ni ujinga. Ni kujaza kesi mahakamani tu zisizo na tija na mwishowe mahakimu kuzitupa.
 

Sinda69

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
379
250
Watu wengi wameoneshwa kusikitishwa na jambo lililomkuta Mange Kimambi kuhusu kupigwa mnada kwa Hoteli ya familia yao ambayo Mange anahisa 25%. View attachment 484634
Kwa kuonyesha masikitiko yao juu ya jambo hilo, watu wengi wamemuomba Mange atoe namba ya Akaunti wamchangie ili aweze kulipa deni wanalodaiwa. View attachment 484635 View attachment 484636
Je, hii inaonyesha ishara gan. Ni kwamba Mange anakubalika sana au?
Acha uongo sema CHADEMA usichanganye habari
 

Nsibhwene

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
293
250
Bashite ni chakula live pozi gani hilo la kumapapasa mwanaume mapaja
Huyo basha ni nani vile. Naona anavuta hisia kwelikweli. Acheni kutengeneza picha za udhalilishaji wana JF. Sitaki kuamini kama ni kweli . Hii itakuwa Photoshop, na kuanzia sasa ninajiamisha hivo ili angalau nisimkosee adabu
 

xng hua

JF-Expert Member
Sep 24, 2016
1,841
2,000
Hahaha unapanic ishu ndogo kama hii? Huijui jf kumbe.. Okay ngoja ni Badili Gia angani.. Inawezekana ukawa na hiyo pesa Ila huna akili, unatetea wauza ngada, Kwa taarifa yako awamu ya TANO ni awamu nyingine kabisa hakuna mazoea, hakuna brand, hakuna Jina, hakuna kuangalia Sura.. Pole Sana mwanaume kushikwa akili na mdaku Mange kimambe
Soma kwanza dogo!!!
Iv muuza ngada ni nan?
Kuna kesi serious ya muuzaji madawa unayo ijua? Katka utawala huu wa 5?
 
  • Thanks
Reactions: Pep

xng hua

JF-Expert Member
Sep 24, 2016
1,841
2,000
anakubalika au ni ulimbukeni tuu wa baadhi ya watu....hivi ni vituo vingapi vya watoto yatima vinahitaji msaada ??
basi tuacha hayo mwenyekiti wenu anayeongoza mapambano nchi kwa upande ule wa magwanda alikua anadaiwa kodi kiasi gani tukashindwa kumchangia hadi vijimtu vije kumchangia huyu bimama??
OK anadaiwa kodi kiasi gani?
acha uduanzi we we tumia kichwa kufikiri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom