hapo vijana wa kijitonyama hawajamfuata hukohuko, amuulize mzee kambona kwanza.Watu wengi wameoneshwa kusikitishwa na jambo lililomkuta Mange Kimambi kuhusu kupigwa mnada kwa Hoteli ya familia yao ambayo Mange anahisa 25%.View attachment 484634
Kwa kuonyesha masikitiko yao juu ya jambo hilo, watu wengi wamemuomba Mange atoe namba ya Akaunti wamchangie ili aweze kulipa deni wanalodaiwa. View attachment 484635View attachment 484636
Je, hii inaonyesha ishara gan. Ni kwamba Mange anakubalika sana au?