Wananchi wana maarifa mengi kuliko mamlaka?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,644
Reaction score
860,871
Je ni kweli kwamba wenye akili wako mtaani na wengine ndio wako kwenye mamlaka walioaminiwa na kukasimiwa madaraka makubwa ya maamuzi?
Je ni kweli na pengine ni sahihi kusema kwamba wana maono kimo cha mbilikimo?
Kwa wenzetu walionyooka kama rula ukituhumiwa tuu.. Cha kwanza ni kuachia kiti na kupisha uchunguzi
Ikithibitika aliyekutuhumu kakubambikia kesi, ambayo ingekuwa adhabu yako anaibeba yeye!
Hivi kwa akili nyepesi kabisa.. Jeshi la police halijui alipo Mdude mpaka liwaombe msaada wananchi? Na je wananchi wakitoa taarifa zinafanyiwa kazi na kupewa matokeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…