Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

Status
Not open for further replies.
Ni mvunja katiba

Miaka 2 imeisha daresalaam ndio amewapa vipaumbele,mikoa mingine sifuri

Ameharibu bunge kwa kuingilia

Uhakika wa watoto wetu wanaoingia vyuoni uko mashakani

Makusanyo ya kodi yanaishia kulipa mshahara wa watumishi

Kazuia mikutano ya kisiasa

Ameshindwa kupunguza matumizi ya serikali ikiwemo magari ya aina mashangingi

Barabara za lami hazijengwi Kama enzi za Kikwete na Mkapa

Kazuia bunge live

Kadanganya watanzania eti anatumbua kumbe anaweka watu wake anatoa wa Kikwete na Mkapa

Ni marafiki wa marais ma dikteta

Nchi ina njaa,biashara zinakufa hakuna mzunguko wa pesa

Mshahara wake haujulikani na haukatwi kodi

Utawala wake wa ccm ni wa kugawana vyeo wananchi wanyonge wamesahaulika
 
Mimi nilikua na wazo serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa JPM inafanya vizuri sana na naona raisi ambaye tulikua tunamwomba mungu kwa miaka mingi tumpate tumeshampata.

Anafanya kazi nzuri sana na naanza kuhisi miaka 10 haitatosha na nafikiri tufanye marekebisho ya katiba tumwongezee muda zaidi at least 20years Tanzania tutakua mbali kimaendeleo.

Kwa kujikumbushia baadhi ya mambo makubwa aliyoyafanya na yamenifurahisha sana ni kama yafuatayo:

1. Ameongeza nidhamu katika taasisi za serikali watu wanafika kazini muda muafaka na kutoka kwa muda muafaka na kukifanya kile kinachopaswa kufanya

2. Suala la kustopisha safari za nje na kuruhusu zile zenye maslai ya nchi tu nayo imecreate saving kubwa sana katika fund ya serikali watu walimisuse sana government fund kwenda kufanya vikao nje ya nchi ambavyo vingeweza kufanyika ndani ya nchi.

3. Overpricing katika project za serikali ilikua ni ya kutisha sasa hivi rais wetu anaidhibiti na anaelekea kufanikiwa kabisa

4. Ufisadi na ukwapuaji wa fedha katika taasisi za serikali ulikuwa ni wa kutisha fedha nyingi zilikua haziendi kwenye project zilizokusudiwa rais wetu na team yake wameidhibiti kwa kiasi kikubwa

5. Serikali ya awamu ya tano ameondoa michango yote ya shule za msingi na Sekondari ambayo ilikuwa kero kwa wazazi na wananchi kwa ujumla hili jambo litabust kuondoa ujinga ndani ya Tanzania kwa kiasi kikubwa sana kwa sababu watoto wengi zaidi watapelekwa mashuleni.

6. Suala la uimarishaji na ujenzi wa miundombinu ni jambo zuri sana na linalobust maendeleo katika nchi yoyote duniani na tumeanza kuona mfano standard gague railways,Dar-es-salaam flying overs n.k

7. Ameimprove hospitali kubwa na ndogo mfano muhimbili kupatiwa vitanda na vitendea kazi vya kitibabu.

8. Mapambano ya madawa ya kulevya ambayo ilikua inaathiri vijana wetu yanaendelea na tumeona kamishna wa tume keshateuliwa na kazi inaendelea.

9. Ameimarisha makusanyo ya kodi ya mapato ya ndani

Kwa maoni yangu huyu ndiye raisi tuliyekua tunamuhitaji na tumemsubiria kwa karne nyingi hivyo natoa wito kwa Watanzania wote kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano

Tanzania sasa hivi tunamove kwenye right direction kwa sababu tunauongozi bora nafikiri sasa tufikirie kubadilisha katiba na kumwongezee mda,

Nawasilisha hoja.
Wewe sio species ya binadamu,akili yako inafanana na dog
 
mnataka kuigawa nchi? sasa kama mmetumwa na kagame wenu endeleeni watanganyika wa sasa si wa enzi ya nyerere
 
Aongezewe mda2 mi sina cha kupinga
Jamaa amepiga kaz mno
Tangu alipokuwa waziri
Au kama vp akistaaf aendelee kuwa katika serikali maana wezini wengi sana miongoni mwa waafrica
 
Mimi nilikua na wazo serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa JPM inafanya vizuri sana na naona raisi ambaye tulikua tunamwomba mungu kwa miaka mingi tumpate tumeshampata.

Anafanya kazi nzuri sana na naanza kuhisi miaka 10 haitatosha na nafikiri tufanye marekebisho ya katiba tumwongezee muda zaidi at least 20years Tanzania tutakua mbali kimaendeleo.

Kwa kujikumbushia baadhi ya mambo makubwa aliyoyafanya na yamenifurahisha sana ni kama yafuatayo:

1. Ameongeza nidhamu katika taasisi za serikali watu wanafika kazini muda muafaka na kutoka kwa muda muafaka na kukifanya kile kinachopaswa kufanya

2. Suala la kustopisha safari za nje na kuruhusu zile zenye maslai ya nchi tu nayo imecreate saving kubwa sana katika fund ya serikali watu walimisuse sana government fund kwenda kufanya vikao nje ya nchi ambavyo vingeweza kufanyika ndani ya nchi.

3. Overpricing katika project za serikali ilikua ni ya kutisha sasa hivi rais wetu anaidhibiti na anaelekea kufanikiwa kabisa

4. Ufisadi na ukwapuaji wa fedha katika taasisi za serikali ulikuwa ni wa kutisha fedha nyingi zilikua haziendi kwenye project zilizokusudiwa rais wetu na team yake wameidhibiti kwa kiasi kikubwa

5. Serikali ya awamu ya tano ameondoa michango yote ya shule za msingi na Sekondari ambayo ilikuwa kero kwa wazazi na wananchi kwa ujumla hili jambo litabust kuondoa ujinga ndani ya Tanzania kwa kiasi kikubwa sana kwa sababu watoto wengi zaidi watapelekwa mashuleni.

6. Suala la uimarishaji na ujenzi wa miundombinu ni jambo zuri sana na linalobust maendeleo katika nchi yoyote duniani na tumeanza kuona mfano standard gague railways,Dar-es-salaam flying overs n.k

7. Ameimprove hospitali kubwa na ndogo mfano muhimbili kupatiwa vitanda na vitendea kazi vya kitibabu.

8. Mapambano ya madawa ya kulevya ambayo ilikua inaathiri vijana wetu yanaendelea na tumeona kamishna wa tume keshateuliwa na kazi inaendelea.

9. Ameimarisha makusanyo ya kodi ya mapato ya ndani

Kwa maoni yangu huyu ndiye raisi tuliyekua tunamuhitaji na tumemsubiria kwa karne nyingi hivyo natoa wito kwa Watanzania wote kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano

Tanzania sasa hivi tunamove kwenye right direction kwa sababu tunauongozi bora nafikiri sasa tufikirie kubadilisha katiba na kumwongezee mda,

Nawasilisha hoja.

Kwanini usibadilishe Katiba ya Nyumbani kwako hii ya Taifa letu usiiguse Tafadhali.
 
Walemavu wa akili tu ndo hawataona umuhimu wa Magufuli
Si ajabu hata hawajui raisi wa namna ipi wanamtaka
Kiufupi watu hao huitwa nyumbu
 
Naomba pia Mirembe hosp ipewe bajeti ya kutosha maana uku mtaani watu wenye tatizo la afya ya akili wapo wengi mpaka wanaamua kuvamia JF kuleta thread uchwara hakika Mirembe hosp ingekua na uwezo mkubwa muda huu ungekua Dodoma unapata tiba.
 
Mimi nilikua na wazo serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa JPM inafanya vizuri sana na naona raisi ambaye tulikua tunamwomba mungu kwa miaka mingi tumpate tumeshampata.

Anafanya kazi nzuri sana na naanza kuhisi miaka 10 haitatosha na nafikiri tufanye marekebisho ya katiba tumwongezee muda zaidi at least 20years Tanzania tutakua mbali kimaendeleo.

Kwa kujikumbushia baadhi ya mambo makubwa aliyoyafanya na yamenifurahisha sana ni kama yafuatayo:

1. Ameongeza nidhamu katika taasisi za serikali watu wanafika kazini muda muafaka na kutoka kwa muda muafaka na kukifanya kile kinachopaswa kufanya

2. Suala la kustopisha safari za nje na kuruhusu zile zenye maslai ya nchi tu nayo imecreate saving kubwa sana katika fund ya serikali watu walimisuse sana government fund kwenda kufanya vikao nje ya nchi ambavyo vingeweza kufanyika ndani ya nchi.

3. Overpricing katika project za serikali ilikua ni ya kutisha sasa hivi rais wetu anaidhibiti na anaelekea kufanikiwa kabisa

4. Ufisadi na ukwapuaji wa fedha katika taasisi za serikali ulikuwa ni wa kutisha fedha nyingi zilikua haziendi kwenye project zilizokusudiwa rais wetu na team yake wameidhibiti kwa kiasi kikubwa

5. Serikali ya awamu ya tano ameondoa michango yote ya shule za msingi na Sekondari ambayo ilikuwa kero kwa wazazi na wananchi kwa ujumla hili jambo litabust kuondoa ujinga ndani ya Tanzania kwa kiasi kikubwa sana kwa sababu watoto wengi zaidi watapelekwa mashuleni.

6. Suala la uimarishaji na ujenzi wa miundombinu ni jambo zuri sana na linalobust maendeleo katika nchi yoyote duniani na tumeanza kuona mfano standard gague railways,Dar-es-salaam flying overs n.k

7. Ameimprove hospitali kubwa na ndogo mfano muhimbili kupatiwa vitanda na vitendea kazi vya kitibabu.

8. Mapambano ya madawa ya kulevya ambayo ilikua inaathiri vijana wetu yanaendelea na tumeona kamishna wa tume keshateuliwa na kazi inaendelea.

9. Ameimarisha makusanyo ya kodi ya mapato ya ndani

Kwa maoni yangu huyu ndiye raisi tuliyekua tunamuhitaji na tumemsubiria kwa karne nyingi hivyo natoa wito kwa Watanzania wote kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano

Tanzania sasa hivi tunamove kwenye right direction kwa sababu tunauongozi bora nafikiri sasa tufikirie kubadilisha katiba na kumwongezee mda,

Nawasilisha hoja.

Ningeshauri angemuoa mama yako Ili familia yenu iwe na nidhamu maana naona maadili Ni zero
 
Hospitali hazina madawa,elimu bure bila walimu wa kutosha,walimu waliopo wamepuuzwa,makusanyo ya kodi umeyathibitishaje?hajaimarisha kilimo ili kuwezesha viwanda,unasemaje hapo?
Development is a process tatizo lako unataka matatizo yote yaishe overnight which is immpossible ndio maaana nasema tubadilishe katiba aongezewe mda zaidi kwa sababu miaka kumi haitoshi na yeye keshaonyesha mwelekeo mzuri wa kutukwamua na umaskini
 
Hospitali hazina madawa,elimu bure bila walimu wa kutosha,walimu waliopo wamepuuzwa,makusanyo ya kodi umeyathibitishaje?hajaimarisha kilimo ili kuwezesha viwanda,unasemaje hapo?
Lini dawa zitosha, lini walimu walitosha, haijafika hata miaka miwili unataka akamilishe kila kitu ?,na taka magufuli atawale mpaka afe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom