Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

Status
Not open for further replies.
Mimi nadhani asiongezewe muhula wa tatu tu bali kama nchi tubadili katiba na mfumo wa uongozi ili hii nchi iwe ya kifalme awe mfalme wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka mauti yatakapomkuta na akifariki kizazi chake kiendelee kututawala maana hakuna ukoo mwingine Tanzania yote unaoweza kutoa kiongozi mzuri kama yeye.
Hapa suluhisho ni katiba mpya tena ile ya Warioba
 
nimemkumbuka sana huyu mkuu wa wilaya aliyekuwa na uthubutu peke yake awamu ya 4..

Jk alimfukuza kazi sababu alikuwa analea wazembe ndio maana tukaibiwa sana...

watu kama hawa awamu ya 5 wanahitajika sana katika kusukuma taifa..

huyu baba apewe hata pale airport akanyoooshe pale airport.. hadi juzi everton wametuponda...

ama apewe hata madini kwa ukauzu wake nafikiri atatusaidia...

maana hata usa na asia hazijaendelea kwa kubembelezana.... adolf hitler ndie alieijenga ujerumani kwa ukauzu wake.. hadi leo wanamkubali...

hii awamu inabidi makauzu wote nchii hii wapewe nafasiii..

hata maofisini, vijijini na mitaaani pia kina watu wasomi na makauzu vibaya mno sema hawajulikani tu hawa ndio wanaohitajika sana kunyoosha nchi...

hatuwezi endelea kwa kubembelezana
 
Sio karne ya kutumia nguvu Sasa ni kipindi cha kutumia akili zaidi ktk kufanya maendeleo ya nchi
 
Tunafanya uchaguzi ili kupata kiongozi bora na siyo kwasababu katiba inataka tufanye uchaguzi.Sikuzote kwa waerevu katiba na sheria zote zimewekwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi sio kwa ajili wananchi kutumikia katiba na sheria kama watumwa hata kwenye mambo yenye manufaa

Kwa miaka mingi watanzania wanyonge tulio wengi tulikuwa tunaomba mungu atujalie tumpate rais ambaye atakayesimama mstari wa mbele kuwatetea wananchi wanyonge waliokuwa wanadhulumiwa na matajiri,atakayesimama mstari wa mbele kupinga rushwa,atakayesimama mstari wa mbele kutetea rasilimali zetu zinazoibiwa na wazungu binafsi yangu na watanzania wenzangu tuliamini rais wa dizaini hii hawezi kutoka ccm atatoka katika upinzani.Kumbe tusilolijua sawa na usiku wa kiza.

Mungu akaamua kujibu maombi yetu na kutupa Jpm mtu ambaye hakuwa anaangaliwa kuwa rais wa Tanzania.Mtu aliyekuja kubadili upepo wa kisiasa na kutuonyesha ukweli kuwa wapinzani ni wanafiki wengi wao wana price tag tumeona jinsi mbowe alivyouza cdm kwa lowassa sh bilion 10,tumeona jinsi cdm wanavyotumika kuvuruga amani ya nchi na wazungu.JPM ni mtu aliyebadili ukuaji wa uchumi wa TZ now uchumi unakuwa sana tumeona ongezeko kubwa la viwanda katika kipindi chake kifupi,Pia tumeona jinsi miondombinu inavyoboreshwa mradi wa flyover,reli ya standard gaude, tumeona mashirika ya serikali yalivyorudisha ushindani katika soko la ushindani tumeona kwa Atcl na ttcl.

A GOLDEN CHANCE NEVER COME TWICE NA KATIBA SIO MSAHAFU TUSEME KUWA NI DHAMBI KUIBADILISHA KWA MANUFAA YA TANZANIA ILI JPM AKAE MILELE IKIWEZEKANE TUBADILISHE MFUMO WA UTAWALA TUWE MONARCHY SYSTEM TUPIGE KURA YA PM WABUNGE NA MADIWANI BASI.IPITISHWE KURA YA MAONI NAIMANI JPM ATASHINDA KWA KISHINDO KUTOKANA NA UTENDAJI WA KAZI YAKE
 
Pole sana....yani watu milion 50 hakuna mtu wa kuongoza tofauti na magu....
Basi tumuombe Mungu asimchukue kabisa ili atawale milele.
 
ndio rate imeongezwa? sasa wapata zaidi ya Buku 7? mshukurunu T.LISSU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom