Ni mvunja katiba
Miaka 2 imeisha daresalaam ndio amewapa vipaumbele,mikoa mingine sifuri
Ameharibu bunge kwa kuingilia
Uhakika wa watoto wetu wanaoingia vyuoni uko mashakani
Makusanyo ya kodi yanaishia kulipa mshahara wa watumishi
Kazuia mikutano ya kisiasa
Ameshindwa kupunguza matumizi ya serikali ikiwemo magari ya aina mashangingi
Barabara za lami hazijengwi Kama enzi za Kikwete na Mkapa
Kazuia bunge live
Kadanganya watanzania eti anatumbua kumbe anaweka watu wake anatoa wa Kikwete na Mkapa
Ni marafiki wa marais ma dikteta
Nchi ina njaa,biashara zinakufa hakuna mzunguko wa pesa
Mshahara wake haujulikani na haukatwi kodi
Utawala wake wa ccm ni wa kugawana vyeo wananchi wanyonge wamesahaulika