Sie pande za huku bado tunahitaji uongozi wake. Ni kiongozi bora aliyetoa uhuru mkubwa wa raia wake kusema watakacho. Kiongozi yupi aliyewahi kutoa uhuru wa namna hii.?
unauliza vumbi store!!?
Kwenye gari mliokuwemo wala amzidi 20 halafu mnataka kuwasemea Watanzania zaidi ya milioni 40. JK chaguo la Mungu, Askofu Kilaini.
Leo tukiwa tunaenda job asubuhi kwa gari lakzini ( Staff bus) tukawa tunasikiliza dondoo za magazeti mara kikasomwa kichwa cha habari katika gazeti la Raia Mwema chenye muundo wa swali kuwa "JK Kuongezewa muda?" watu karibu wote basi zima wakaguna na kusema "mmmh tena? inatosha!" Mara ukaibuka mjadala humo ndani huku watu wengi wakisema hawataki kusikia hiyo habari.
Swali ni kwamba ni kweli wananchi wamemchoka mheshimiwa kiasi hicho? Na je hali ikoje katika eneo ulilopo?

Maoni ya kwenye Dala dala la vibarua hayaakisi mawazo ya watanzania! Kama mnadhani kachokwa turuhusu agombee tena chini ya hii katiba mpya muone watavokula za uso wale watu wenu, jakaya kachokwa Jf sio mtaani, kuna watu wanadhan mawazo ya multiple ID ya jf ndo ya watanzania.