BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,050
- 10,495
-uhuru wa kujiachia kutembea popote muda wowote ni mkubwa sanaWewe kama MTanzania una kipi cha kujivunia kuanzia Siasa, Uchumi, Tamaduni, Michezo na Burudani.?
Honestly natamani kuwa hata raia au hata Diaspora wa Developed country na huu sio usaliti ni vile tu kila mtu yupo na wishes zake.
Sababu jiwe hajagusa familia yako sisi tulioguswa na maamuzi ya jiwe tunajua tunayoyapitia ndani ya nchi yetu pendwa.
Uhamisho wa wanyama kwako umeleta matokeo gani?Kuhamisha wanyama kwenda CHATO.
wasomi ambao wanashindwa kujitegemea na Ajira hakuna.Mbali na kusajiliwa kwa alama za vidole pia najivunia utawala unaoleta elimu bure japo sijui kama ni bora au si Bora!
Jidanganye.Najivunia siku hizi hamna ile mtu anakwambia "unanijua mimi nani wewe"
siku hizi hata mimi naweza mkoromea bonge la jitu na lina minyota yake.
Demokrasia gani wakati wenye mamlaka hawataki wakosolewe.1.Uasisi wa vyama vingi na demokrasia...ingawa CCM wanacheza rafu sana na kutuharibia taswira yetu..
2.Kufa kwa siasa za ujamaa na kujitegemea
Sent using Jamii Forums mobile app
Demokrasia gani wakati wenye mamlaka hawataki wakosolewe.
yeye anajivunia hilo hivyo "muache" wewe kama Huyo unaemuita JiweSababu jiwe hajagusa familia yako sisi tulioguswa na maamuzi ya jiwe tunajua tunayoyapitia ndani ya nchi yetu pendwa.
we jamaa unataka watu waseme/waandike vitu ambavyo vipo kichwani mwako?
umesema watu wataje wanajivunia nini,mtu anataja anachojivunia wewe unampinga
kumbe basi ulikua unataka waseme wana nini cha kujivunia? waorodheshee basi waviseme
nakushangaa sana unavyopinga mawazo ya wengine unawambia wanajidanganya,wewe ndio unajidanganya.
Maendeleo ya mji wa Chato ndani ya muda mfupi wa uongozi wa JohnWewe kama Mtanzania una kipi cha kujivunia kuanzia Siasa, Uchumi, Tamaduni, Michezo na Burudani?
Honestly natamani kuwa hata raia au hata Diaspora wa Developed country na huu sio usaliti ni vile tu kila mtu yupo na wishes zake.
Endelea kujijaza ujinga. Siku ukutane na mimi halafu ujaribu kukoroma. Utaenda kupeleka salamu nyumbani kwenuNajivunia siku hizi hamna ile mtu anakwambia "unanijua mimi nani wewe"
siku hizi hata mimi naweza mkoromea bonge la jitu na lina minyota yake.
Hapo kwenye ka unafki watz nawavulia kofia-uhuru wa kujiachia kutembea popote muda wowote ni mkubwa sana
-muingiliano wa kwenye jamii ni mkubwa tofauti na na nchi nyingi duniani.
-watanzania wana kaunafki fulani hivi amazing usiona madhara makubwa.
-ila pesa ngumu kuipata hii nchi balaaa
Mbingu na Ardhi ni vitu ambavyo kamwe haviwezi kukutanaEndelea kujijaza ujinga. Siku ukutane na mimi halafu ujaribu kukoroma. Utaenda kupeleka salamu nyumbani kwenu