Wananchi wa Tanzania tuna kipi cha kujivunia?

Magufuli anakurupuka kubadilisha sheria za madini tutashitakiwa MIGA ~~~ Lisu
IMG_20200224_083150.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hichi ndo nachokipata kwa kusema ukweli naitwa mpingaji as long nasimama kwenye ukweli ni sawa.
Ukweli kwako kwa wengine propaganda tu
acha watu wasimamie wanachokiamini sio kuwapandikizia unayotaka wewe utafikiri upo na watoto wa chekechea
 
Wewe kama Mtanzania una kipi cha kujivunia kuanzia Siasa, Uchumi, Tamaduni, Michezo na Burudani?

Honestly natamani kuwa hata raia au hata Diaspora wa Developed country na huu sio usaliti ni vile tu kila mtu yupo na wishes zake.
Wa-Tanzania tunajivunia vile vyote ambavyo akili yako wewe imenyimwa upeo wa kuviona, pamoja na vile ambvyo imepewa upeo wa kuviona . Ni vingi sana wala havina idadi
 
Mbali na kusajiliwa kwa alama za vidole pia najivunia utawala unaoleta elimu bure japo sijui kama ni bora au si Bora!

Huku kitaa wenyeviti wa mtaa kila mara wanapita majumbani kwetu wakiomba elfu 20 za ujenzi wa madarasa mara hela ya mlinzi wa shule wkt hata watoto wetu hawasomi huko kwny elimu bure.
 
Mimi najivunia Tanganyika mikoa yote kuunganishwa na barabara za rami huku treni ya kutumia umeme ikiwa inajengwa kwa kasi kubwa.
 
Back
Top Bottom