Wananchi wa Tanzania tuna kipi cha kujivunia?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,976
10,203
Wewe kama Mtanzania una kipi cha kujivunia kuanzia Siasa, Uchumi, Tamaduni, Michezo na Burudani?

Honestly natamani kuwa hata raia au hata Diaspora wa Developed country na huu sio usaliti ni vile tu kila mtu yupo na wishes zake.
 
Wewe kama MTanzania una kipi cha kujivunia kuanzia Siasa, Uchumi, Tamaduni, Michezo na Burudani.?

Honestly natamani kuwa hata raia au hata Diaspora wa Developed country na huu sio usaliti ni vile tu kila mtu yupo na wishes zake.
-uhuru wa kujiachia kutembea popote muda wowote ni mkubwa sana
-muingiliano wa kwenye jamii ni mkubwa tofauti na na nchi nyingi duniani.
-watanzania wana kaunafki fulani hivi amazing usiona madhara makubwa.

-ila pesa ngumu kuipata hii nchi balaaa :D :D :mad:
 
Demokrasia gani wakati wenye mamlaka hawataki wakosolewe.

we jamaa unataka watu waseme/waandike vitu ambavyo vipo kichwani mwako?

umesema watu wataje wanajivunia nini,mtu anataja anachojivunia wewe unampinga

kumbe basi ulikua unataka waseme wana nini cha kujivunia? waorodheshee basi waviseme

nakushangaa sana unavyopinga mawazo ya wengine unawambia wanajidanganya,wewe ndio unajidanganya.
 
Sababu jiwe hajagusa familia yako sisi tulioguswa na maamuzi ya jiwe tunajua tunayoyapitia ndani ya nchi yetu pendwa.
yeye anajivunia hilo hivyo "muache" wewe kama Huyo unaemuita Jiwe

huna cha kujivunia nacho toka kwake,basi acha wenye wanaweza toa

shuhuda za mazuri aliyowatendea wayatoe,na usiwapinge maana ukiwapinga

hii thread yako itakua haina Maana au huwezi iendesha kabisa.

Shetani mwenyewe anachukiwa na kila mtu ila kuna wanaompenda ni haki yao.
 
Mwenyew kanishangaza kwakwel, sasa sjui alikua anataka watu waseme nini
we jamaa unataka watu waseme/waandike vitu ambavyo vipo kichwani mwako?

umesema watu wataje wanajivunia nini,mtu anataja anachojivunia wewe unampinga

kumbe basi ulikua unataka waseme wana nini cha kujivunia? waorodheshee basi waviseme

nakushangaa sana unavyopinga mawazo ya wengine unawambia wanajidanganya,wewe ndio unajidanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kama Mtanzania una kipi cha kujivunia kuanzia Siasa, Uchumi, Tamaduni, Michezo na Burudani?

Honestly natamani kuwa hata raia au hata Diaspora wa Developed country na huu sio usaliti ni vile tu kila mtu yupo na wishes zake.
Maendeleo ya mji wa Chato ndani ya muda mfupi wa uongozi wa John
 
Najivunia siku hizi hamna ile mtu anakwambia "unanijua mimi nani wewe"

siku hizi hata mimi naweza mkoromea bonge la jitu na lina minyota yake.
Endelea kujijaza ujinga. Siku ukutane na mimi halafu ujaribu kukoroma. Utaenda kupeleka salamu nyumbani kwenu
 
-uhuru wa kujiachia kutembea popote muda wowote ni mkubwa sana
-muingiliano wa kwenye jamii ni mkubwa tofauti na na nchi nyingi duniani.
-watanzania wana kaunafki fulani hivi amazing usiona madhara makubwa.

-ila pesa ngumu kuipata hii nchi balaaa :D :D :mad:
Hapo kwenye ka unafki watz nawavulia kofia
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom