mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,254
- 4,466
Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais
Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm?
Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona Mwenge ukijitambulisha wenyewe pasipo picha za awaye yote?
Kwenu wadau