Mwenye jukumu la kuleta maendeleo ni Mbunge au serikali?Hv toka 2010 mumchague sugu wana mbeya ni maendeleo gani kawaletea zaidi ya vurugu tu??
Mwenye jukumu la kuleta maendeleo ni Mbunge au serikali?Hv toka 2010 mumchague sugu wana mbeya ni maendeleo gani kawaletea zaidi ya vurugu tu??
Kwa vile tumeacha mada tuingie siasa mnazozipenda.
Ati CHADEMA chama cha maendeleo kinachoongozwa na wazinzi.
Ndio umakini wa kuigwa na vijana.
Watu nyie naona mna affiliation na umanamba, mnaibiwa ruzuku kila kukicha na mnachekelea kama mazuzu.
Sijui ofisi ya CHADEMA hapo Mbeya iko uchochoro upi, wakati wenzenu wanatanua na helikopta huko makao makuu yenu kaskazini.
Wengine wamepewa heshima ya kuwa wabunge wa wana Mbeya lakini umanamba unawasumbua na wako radhi kutumikia wabunge wenzao wa kaskazini kama walinzi binafsi.
Watu mnajiita makini wakati hata umakini wenyewe hamuujui, na baada ya kuongozwa na form four failures no wonder hata mawazo yenu ni ya mtu mfu.
ni shilingi ngapi? mimi kama mwanambeya naamini naweza kulipia yote peke yangu! manake hamchelewi kufungua vikesi vya kipuuzi ili mradi mbunge wangu asipate muda wa kunihudumia!
Wewe nadhani ni boya tu humo ccm na upo hapo kwa kujaza tumbo lako na ndio maana hata hujui kuwa UZINZI ndio utamaduni wa chama cha magamba; hao wanawake mliowajaza humo bungeni kwani wanannchi hawajui mmewapaleka huko Dodoma kutoa huduma gani? Wilaya za pembezoni zote zi,ejaa wanawake wasiowaume ili viongozi wenu wakienda huko wafanya ufuska wenu!! Hizo propaganda kuwa Chadema ni chama cha kaskazini wauzieni hao hao wajinga wenzenu kwani vijana wa sasa hawadanganyiki!!!
Uongozi sio lazima uwe na shahada mradi umeelimika na mbona nyie magamba mna wabunge wenu wengi tu wa darasa la saba licha ya form four; unamjua JAH PEOPLE na Maji marefu na Lukuvi ambaye hamna hata aibu kumpa uwaziri angari ni MAIMUNA wa darasa la saba!!
Waliofanya ufisadi wa mkataba wa AIR TANZANIA na SOUTH AFRICAN AIRWAYS , Radar na mengine mabaya mengi mbona ni wasomi wa madigrii mengi lakini wezi!!!
The type of thinking that has very low standards of achievements.
Kwa hiyo mkuu, kwa vile CCM kuna wazinzi , kwenu CDM uzinzi ruksa au siyo?
Kwa vile kuna wezi CCM , wizi CDM ruksa au siyo?
The type of thinking that has very low standards of achievements.
Kwa hiyo mkuu, kwa vile CCM kuna wazinzi , kwenu CDM uzinzi ruksa au siyo?
Kwa vile kuna wezi CCM , wizi CDM ruksa au siyo?
Acheni hoja za kitoto,uzinzi ni tabia ya mtu na si ya chama
Mwe fikoloboji mulifikafu fijo, kangi mukwenda ni fyana ifi fikiimbamo ni sukulu.....
Ssee...!!
Amukusambula na masendo.
Haya kifaransa hicho jibuni, inabidi skuli ipande!
Take care mister, mind your language!!!Ours was rhetorical to your contention that Chadema leaders are promomiscuos. We tried to show you that YOU SHOULD NOT THROW STONES BECAUSE YOU LIVE IN A GLASS HOUSE!! Hopefully you will understand what we mean! Nyie magamba hamuwezi kuwashitaki chadema kuwa wazinzi kwasababu hiyo ndio tabia yenu nyie; uzinzi na wizi huathiri maendeleo ya nchi na ndio maana magamba wameidumaza nchi!!
Take care mister, mind your language!!!
Promiscuity is not exactly a positive attribute.
That in CCM there are promiscous character does not warrant CDM to have the same characters, and in fact the wananchi expected a fresh breath of air in those terms.
Mafisadi in the real and literal sense, were least expected from CDM , a party portraying itself to be the wananchi's mkombozi.
If you ask me , it is just as dirty as the rest of them.
Be it in corruption, promiscuity,vagabonditry, you name it, what we have in CCM you also have it.
No use electing such characters into office while they are just as power hungry with an intent to fill their lusts and pockets for a change.
No wonder CDM is now stunted in growth as they show nothing new to the wananchi.
The type of thinking that has very low standards of achievements.
Kwa hiyo mkuu, kwa vile CCM kuna wazinzi , kwenu CDM uzinzi ruksa au siyo?
Kwa vile kuna wezi CCM , wizi CDM ruksa au siyo?
I do not blame you for English is not your mother tongue!! Your language is less than perfect as shown above. Please give yourself and your bedfellows some psychological food that Chadema is stunted while the party is running you thieves scared warranting your use of the police force to stem the tide!!!
Tunajua kuwa wewe huwezi kukubali lakini sisi watu wa Mbeya hatuwezi kuacha Rais wetu Sugu aendelee kudhalilishwa hivyo. 2015 lazima mtajua tu kuwa Sugu anapendwa na watu wa mbeya. Mtahangaika sana lakini huo ndio ukweli. Nimepita mitaa mingi hapa Mbeya wanaishangaa sana CCM. Mbona wanampa Sugu umaarufu wa bure hivi. Maana anaonekana ni mtu anayethubutu sana.
Na wewe wazazi wako hasa mama yako alipe fidia kwa kosa la kuzaa tahira kama wewe
May I say its an understaement!!
Foremost please re-read my post , it was rectified long before you copied.
Second a promiscous man will have no body running for cover!!
Far from it.
As for the njagus', they are known for being CDM's darling sparring partners, and your members losing their lives all the way, by design of course!
So it seems you are just only slightly better than Sugu.I hope you have rectified this one as well before I copied it!! Next time write in Nyakyusa may be you will not misspell!! Darling sparring partners my foot; why don't they spar with you known fisadis!!
So it seems you are just only slightly better than Sugu.
Clap... clap....clap.