masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,120
Mahali popote ambapo chadema au chama kingine kimepata uongozi; ccm na serikali yake huwa wanafanya hujuma ya maendeleo ili wananchi wachukie vyama hivyo, na hizo ndio intrigues za ccm na Mbeya mjini is no exception!! Hizo nyumba za udongo unazozisema hapo Mbeya mjini zipo toka enzi za ukoloni na kuna nyumba nzuri ambazo wewe hutaki kuzitaja upande wa Forest na Mwakibete!! Tumekuwa na viongozi wa chama tawala toka enzi hizo and there is nothing to write home about na ndio maana wana Mbeya wanataka mabaliko ya kweli na ndio yameanza kwa kuwaondoa wabunge wa magamba nahiyo itawafuata hata nyie huko kwenu Rungwe!!Huko mageuzi yameanzia Kiwira kwa kushinda kiti cha udiwani na wanakuja mpaka Huko Mashariki!!
Thats the problem.
Tukiongea maendeleo nyie mnakazana na rhetorics za politics.
Kama unamkumbuka mzee Mwangoka na matofali ya kupikwa toka baada ya uhuru utaelewa naongea nini.
You guys seem to think CDM itawaletea neema, endeleeni kusubiri wakati Sugu wenu anamaliza bifu lake na mapolisi.