KIBONGOMKUTI
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 1,425
- 605
Wadanganyika tunaelekea wapi? inakuwaje m2 una akili japo sina uhakika kama ni timamu kushabikia kuuliwa kwa Mwl. kwa tuhuma za kuiba Simenti. Nashawishika kuwa kuna baadhi ya wachangiaji au waleta mada hapa JF uwezo wao wa kufikiri na kutafakari hauna tofauti na wale ndugu zetu pale Mirembe Dom. Kiukweli nauchukia UFISADI,WIZI na mambo kama hayo lakini haiingii akilini kufurahia m2 kuuwawa kwa tuhuma za WIZI tena wa mfuko wa siment? Mbona ww mleta mada haujawachinja mafisadi papa, bali unajitia kidedea kwa kifo cha Mwl, ambao wengi tunafahamu jinsi wanateseka kwa madai ya posho na malimbikizo ya madeni yao. Utajisikiaje ukikuta au kufahamu kuwa uhendamarehemu Mwl nae alikuwa akiidai Serikali yako vijisenti vyake na akaamua kama noma acha iwe noma nikiulizwa nitajitetea kuwa ni bonafide claim of right?