Sio kosa lake ana pepo mwagize aende kisongo kwa ngurumo ya upako au kwa babu akapate kikombe hiyo kodi imeidhinishwa kikao gani na kwa manufaa ya nani
Watu Wamagamba wanakuwa na plan Nyingi za Kuwatoza watu Kodi ila hawana Ubavu wa kuhakikisha Hizo Kodi zinalipika!! Kwani kama wangeboresha maeneo ya parking ya Hizo pikipiki ni Haki ya wao kulipa Kodi!! Kwani kila maendeleo yanategemea Kodi yako!! Sasa kwenye hii nchi Imekuwa na Tabaka dogo la walipakodi na Huu ni uonevu Mkubwa!! Just wanategemea Kodi ya Mishahara ya wafanyakazi!! Wafanyabiashara wanapeta!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.