Wananchi wa Arusha wang'aka!

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Baada ya mkurugenzi wa manisipa ya Arusha kutangaza pikipiki kulipa ushuru wa maegesho, madereva wa pikipiki na wamiliki wa pikipiki wameapa kutokulipa na na wameapa kuwashambulia watoza ushuru hao.

Wanasema serikali kuu imewasamehe kodi ya mapato sasa Manispaa wanataka kuwakomoa.

Wanasema kwa kuwa hatuna mbunge ndio wanataka kutukomoa.Pia wapanda pikipiki wamesema wako tayari kuwasaidia.

CCM kwa mtindo huu msitegeme lolote arusha.Mkurugenzi na Thomas munis hawaitakii Arusha mema
.
 
Hili tangazo hata mimi nimelisia. Kwa jinsi waendesha pikipiki wa Arusha walivyo na ushirikiano, sidhani kama kuna hata mmoja atalipa hiyo 500 ya ushuru. Ukimfuata mmoja wanakuja kama 50 kuleta noma.
 
kwahiyo mnataka wasilipe kodi sio na huku wanafanya biashara?
 
Wananchi wenzetu wa Arusha, Tuanaomba mfahamu kuwa serikali kuu imeondoa kodi ya mapato, kupisha serikali za mitaa kupata vyanzo vya mapato. Ushuru unao tozwa na serikali za mitaa (Manispaa, miji na wilaya) ni ushuru halali na wa kisheria. tunawaombeni mtii sheria bila shuruti, kwani kila muwaonapo polisi wamebeba bunduki, hawalengi kupiga ndege, bali wale wasio penda kutii sheria bila shuruti. Kule kituoni, kuna bunduki nyingi,ambazo nyingine hazijawahi hata kutema risasi hata moja. na idadi ya risasi zilizopo kituoni ni zaidi ya chroloquine zilizopo Mount Meru. Tunawapenda, Tunawahitaji, na hivyo, tunawaomba mtii sheria bila shuruti. Hatutawaunga mkono kwa kutotii sheria.
"MUNGU AWAHURUMIE SANA, MTII SERIKALI ILIYOKO MADARAKANI, KWA KUWA IMEWEKWA NA MUNGU"
 
Nimeipenda hii ongezea na ct scanner ya kuangalia risasi ilipo imehujumiwa na madokta sasa subirini tuwaonyeshe udhaifu kwa vitendo
 
wananchi wenzetu wa arusha, tuanaomba mfahamu kuwa serikali kuu imeondoa kodi ya mapato, kupisha serikali za mitaa kupata vyanzo vya mapato. Ushuru unao tozwa na serikali za mitaa (manispaa, miji na wilaya) ni ushuru halali na wa kisheria. Tunawaombeni mtii sheria bila shuruti, kwani kila muwaonapo polisi wamebeba bunduki, hawalengi kupiga ndege, bali wale wasio penda kutii sheria bila shuruti. Kule kituoni, kuna bunduki nyingi,ambazo nyingine hazijawahi hata kutema risasi hata moja. Na idadi ya risasi zilizopo kituoni ni zaidi ya chroloquine zilizopo mount meru. Tunawapenda, tunawahitaji, na hivyo, tunawaomba mtii sheria bila shuruti. Hatutawaunga mkono kwa kutotii sheria.
"mungu awahurumie sana, mtii serikali iliyoko madarakani, kwa kuwa imewekwa na mungu"
changanya na akili yako mwenyewe. Tupo tayari kuhamishia jeshi zima hapo arusha ili tanzania iendeleze ile sifa yake ya kuitwa kisiwa cha amani.
 
Hata mimi nimesikia hilo tangazo.nawasi wasilipe wawachape wakiwafuata serikali imewaondolea kodi ya elfu 30 kwa mwaka huyu anataka kila siku 500 kwa mwezi 15000 kwa 180000 bora ipi wamepunguziwa nini? Lema na miliya rudini arusha mpambane na huu ufisadi wa ccm.alafu we thomas una mungu kweli wewe?hizi pikipiki kwa mwezi mwenye pikipiki analipewa 30000 we unataka 15000 mko shea ccm muogopeni mungu.
 
changanya na akili yako mwenyewe. Tupo tayari kuhamishia jeshi zima hapo arusha ili tanzania iendeleze ile sifa yake ya kuitwa kisiwa cha amani.

Tutawaunga mkono kama mtapigania haki, na siyo kutotii sheria halali za nchi. Wana Arusha tuwafahamu kwa ujasiri wenu, na kweli Arusha ni mfano wa kuigwa, huwa tunawaunga mkono pale mnapokuwa na vita ya haki. Katika hili, hatuungi mkono. "TII SHERIA BILA SHURUTI"
 
kwahiyo mnataka wasilipe kodi sio na huku wanafanya biashara ? kweli mnatumia ************* kufikiri Wewe ndie usiyefikiri kwa kudandia lori kwa nyuma. Walipe kodi wakati serikali kuu imefuta ushuru wa bajaji?
 
usitumie lugha ya matusi kwenye hoja ya msingi, serikali za mitaa ndizo hufanya ama kutekelza shughuli za maendeleo katika miji kwa kutumia vyanzo vyake yenyewe, mojawapo ni parking fees, lipen ushuru ili mpate maendeleo acheki kutumia jazba.
 
wananchi wenzetu wa arusha, tuanaomba mfahamu kuwa serikali kuu imeondoa kodi ya mapato, kupisha serikali za mitaa kupata vyanzo vya mapato. Ushuru unao tozwa na serikali za mitaa (manispaa, miji na wilaya) ni ushuru halali na wa kisheria. Tunawaombeni mtii sheria bila shuruti, kwani kila muwaonapo polisi wamebeba bunduki, hawalengi kupiga ndege, bali wale wasio penda kutii sheria bila shuruti. Kule kituoni, kuna bunduki nyingi,ambazo nyingine hazijawahi hata kutema risasi hata moja. Na idadi ya risasi zilizopo kituoni ni zaidi ya chroloquine zilizopo mount meru. Tunawapenda, tunawahitaji, na hivyo, tunawaomba mtii sheria bila shuruti. Hatutawaunga mkono kwa kutotii sheria. "serikali iliyoko madarakani, imewekwa na mungu
Mungu yupi?
 
Baada ya kukurupuka kuamru madereva wa pikipiki maarufu madereva toyo wawe wanalipa parking fee ya 500 kila siku hali ambayo ilipigwa waziwazi na madereva hao huku wakipanga kuandamana hiyo hisho, mkurugezi huyo ameibuka na kusema tangazo hilo limekosewa kwa lazima awashirikishe kwanza madereva hao, akaulizwa kwani nani katoa tangazo likiwa na sahihi na mhuri wako akasema atafanya uchunguzi...source: sunrise
 
Ana mapepo, aende kuombewa

mimi naona ni muonga, kwanza alianza kwa kuwataka wafanya biashara ndogondogo waondoke kupisha ujenzi wa barabara wakagoma wakimwambia awaelekeze pakwenda kufanyia biashara zao baada ya wafanybiashara kuungana na kutishia kuandamana kama ilivyotokea mbeya akamywea..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom