Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,211
- 79,685
Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. ðŸ˜ðŸ˜ Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚