suplex city
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 433
- 117
Haya ni mahaba kutoka uvungu wa moyo. Wananchi wa Mara wakipiga deki ili msafara wa Lowassa upite katika Barabara hiyo...
Hawakawii kusema hapa ni Senegal
View attachment 297256View attachment 297257View attachment 297258View attachment 297259
Mpaka naona AIBU.Yaani watu wa MARA ndo wamefikia hatua hiyo.Nadhani watu wa KLM,ARUSHA na MONDULI hawawezi kumfanyia hivi mgombea yeyote kutoka sehemu yoyote ile.Mara siku hizi ni kama kuna mataahira wengi sana...
Naona picha ya mateja wanne sijui watano 'wakifagia' eneo moja.
Yani wanaofagia barabara wanaonekana kabisa ni wanywa viroba....wanaonesha ni darasa la nne failure...
Huo ni ushamba,kuchanganyikiwa au kulata tamaa? Au kweli hawa vijana wamelewa viroba?
Tatizo hao viongozi wenyewe wa kisiasa karibu wote wao hutanguliza masilahi yao binafsi mbele,tena wengine hudanganya ni matakwa ya wananchi. Na hao wananchi wenyewe pia wamekazana kushabikia tu,mie sionagi tofauti ya wanaoshabikia chama tawala wala upinzani.
Kwaio obama akidekiwa barabara sio mataahira ila mbongo mwenzetu akidekiwa ndio mataahira??? Wewe ndio utakua taariha hadi wanakunyosso.
Umeamua kujitoa akili sio?Serikali ya Tanzania ni ya kitumwa au sio? Rejea ziara ya Obama, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Meya wa Jiji ndio waliosimamia zoezi la kudeki barabara za Jiji hilo tena kwa gharama kubwa tu! Yale maji waliyotumia si wangewapelekea wananchi wenye shida ya maji.
Dr Slaa sijui ana hali gani anapoona haya yanayotokea Musoma. Bora Lipumba kacheza deal kapiga kimya. Huwezi kuzuia majira kabisa.. Watu walishapigika hawataki tena mzaha. Dr alijitahidi sana kuzuia mabadiliko ila raia walimuambia Dr umechelewa sana. Sasa hivi wamempuuza na kuishusha heshima aliyokuwa nayo... Hakuna anayeweza kuzuia mvua
Maigizo dot com