Wananchi Mara wapiga deki barabara Lowassa apite

Lowassa hajanunuwa hizo nyumba?
 
Last edited by a moderator:
Wamechoka uteja wanataka mabadiliko ndio maana wamefanya hivyo. Wakichagua ccm wataendelea kuwa mateja na kukata tamaa maisha yao yote. Tafakari!

....hawa jamaa wana dharau!!! Ina maana teja sio binadamu?
 
Kwaio obama akidekiwa barabara sio mataahira ila mbongo mwenzetu akidekiwa ndio mataahira??? Wewe ndio utakua taariha hadi wanakunyosso.

Hayo yalofanyika Musoma ndo matunda yaliyojengwa na chadema, kwa kweli ni aibu tupu kwa wana Musoma mjini, wengi wao nimewaona walikuwa wamelewa sana viroba, kwa kweli hivi viroba vitawadhuru sana vijana wa Musoma.
 
Musoma najua watu wa kazi leo wanapiga deki kweli akili zako chanaganya na za kuambiwa
 
Yani wanaofagia barabara wanaonekana kabisa ni wanywa viroba....wanaonesha ni darasa la nne failure...

yan vijana wasikuhizi hata hamfikirii akinywa kiroba hapigi kura? na kama unadhani kura za kuchagua raisi ni za wasomi subiri tarehe 25.
 
Aiseeee hivi kwel mr pushap hajui sadamu hussein alikua raisi wa wapi au utani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…