Wananchi Jimbo la Kisesa wataka jina la MPINA lirudishwe

just_zero

Member
Joined
Jun 3, 2025
Posts
80
Reaction score
167
SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea.

Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa ombi kwa uongozi wa CCM kurejesha jina la Mpina kwenye orodha ya Wagombea ili waweze kufanya maamuzi yao kwa uhuru, kama sehemu ya haki yao ya msingi ya Uchaguzi.

source: Jamiiforums
 
Attachments

  • VID-20250804-WA0045.mp4
    9.6 MB

Safi Sana wanakisesa, huo ndio ukombozi wakifikra, hatuwezi kumbangiwa nani wakutuongoza, tunamchagua wenyewe
 
SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea.

Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa ombi kwa uongozi wa CCM kurejesha jina la Mpina kwenye orodha ya Wagombea ili waweze kufanya maamuzi yao kwa uhuru, kama sehemu ya haki yao ya msingi ya Uchaguzi.

source: Jamiiforums
Mwenyekiti CCM na genge lake waache uhuni ,kwa chuki zao za kipumbavu tu
Warudishe jina.
 
utaratibu wa mwaka huu ccm ni mzuri,ila wasipochuja vizuri watu wao watapoteza majimbo mengi sana. kama sivyo basi ccm watatumia nguvukubwa ili kuwakabili wapinzani.
 
Wanashindana na nani, kwa mfano?
 
Hao watakuwa wamelipwa na mpina Ili wabwabwaje hivyo pole yao haitasaidia kitu its' too late, ajipange muda mwingine
 
Back
Top Bottom