Akizungumza Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam, Mgombea nafasin ya Urais chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina ameeleza kuwa taarifa za kukatwa jina lake kugombea ubunge Jimbo la Kisesa zilianza kutangazwa miaka miwili iliyopita na baadhi ya viongozi wa CCM...
Salaam!
Kwa kuwa katiba inarihusu kugombea Urais na ubunge kwa wakati huo huo,
Chukua fomu ya kuwania pia ubunge Jimbo la Kisesa, maana hao ndio Msingi wa WEWE kufahamika.
NB: Bila Reforms kufanyika kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi, uchaguzi batili UTAYEYUKA.
NRNE 💪 🔥
Nawasilisha 🙏
SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea.
Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa...
Inawezekana kabisa CCM inazihitaji zaidi REFORMS kuliko hata Chadema na wenzao.
Leo huko mkoani Simiyu, jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina.
Wao wamesema wanamtaka mbunge wao, hawapigi kura za maoni siku ya leo hadi waletewe mbunge wao. Hawana...
SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea.
Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa...
Salaam !
Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa.
Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon!
NRNE 💪 🔥
Karibuni 🙏
Jana kumetolewa taarifa kwamba CCM itakutana na changamoto kubwa katika Jimbo la Kisesa, wilaya ya Meatu, mkoa wa Simiyu.
Kulingana na habari hizo, hakuna upigaji wa kura za maoni utakaofanyika tarehe 2 Agosti 2025, jambo ambalo linaweza kuwa pigo kubwa kwa chama hicho.
Wanachama wa CCM...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
Wakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo
Wanachama wa CCM wameshinikiza Mpina ndo agombee pekee
Mwenyekiti wa CCM Taifa alimwita Luhaga Mpina kuwa ni mbunge wa Taifa na sio mbunge wa Kisesa na huwa hawatetei wananchi wa Kisesa
Pia Mwenyekiti wa CCM alisisitiza wananchi...
Habari wa JF,
Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha,jimbo la Kisesa hakuna MwanaCCM yeyote aliyechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama kugombea ubunge.Pamoja na mafuriko ya wanachama wa Chama hicho maeneo mengine, lakini Kisesa bado wanaCCM wameufyata.
Chanzo changu...
Wakuu,
Wananchi wa Kisesa wanaonekana wana mahaba na mbunge wao licha ya kuchabangwa na Rais.
Umati mkubwa wa wananchi wa Mwandoya waliokuwa wamehudhuria mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, wameshindwa kujizuia kwa furaha waliyonayo, na kujikuta wakimsindikiza hadi...
Hellow!
Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani,
Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amemwambia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa jimbo lake bado linamdai fedha za maendeleo na kwamba maeneo mengine yanayodai hayamdai, fedha zao zihamishiwe Kisesa.
Mpina ametoa kauli hiyo leo, Jumanne Juni 17, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara unaofanyika Wilaya ya...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni humo, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mwabusalu, Juni 13, 2025.
Katika mkutano huo, wanachama na Viongozi wa vyama vya upinzani, akiwemo Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Kisesa, Tekla James, na mwanachama wa...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, ameiomba Serikali kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuridhia na kupitisha sheria kali, ikiwemo adhabu ya kunyongwa kwa mtu yeyote atakayebainika kufanya ubadhilifu wa mali za umma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara...
Chief Kisendi Josephat Nkingwa ambaye ni Mwenyekiti wa Machifu wa Usukumani, ameyasema hayo wakati akiwa katika viunga vya Bunge ambapo aliambatana na Machifu wengine, pamoja na Mapadri kutembelea Bunge na kumuunga mkono Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina baada ya kumaliza kutumikia adhabu ya...
Friends, ladies and gentlemen..
Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025...
Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe leo anafanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kisesa mkutano unaotajwa kusubiriwa na hamu kubwa hasa baada ya kutangaza kuwanyima huduma za pembejeo za kilimo kama wananchi hao wataendelea kuungana na mbunge wao Luhaga Mpina kuwa kulaumu wakulima kuuziwa dawa...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina atamba kwa kusema Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumfukuza.
"Yani mimi ni fukuzwe kwa kuwasema hadharani wezi, mimi nifukuzwe kwa kukataa Wananchi kudhulumiwa. Mimi nilikataa Wananchi kudhulumiwa" Luhaga Mpina.
Soma Pia: Mpina: Mzee Kikwete Mwaka 2012...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.