SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea.
Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa ombi kwa uongozi wa CCM kurejesha jina la Mpina kwenye orodha ya Wagombea ili waweze kufanya maamuzi yao kwa uhuru, kama sehemu ya haki yao ya msingi ya Uchaguzi.
source: Jamiiforums