Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 487
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia performance ya wanamuziki wetu hasa wa Bongo flava wanapokuwa stejini, kwa ujumla inakera. Inafikia hatua mpaka unajiuliza hivi huyu ndiye mwenye wimbo ninao usikia kwenye cd fulani? Ni kwa nini wanakosa confidence namna hiyo? Tatizo ni nini!