Wanamuziki wetu na muziki wao majukwaani.

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,450
487
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia performance ya wanamuziki wetu hasa wa Bongo flava wanapokuwa stejini, kwa ujumla inakera. Inafikia hatua mpaka unajiuliza hivi huyu ndiye mwenye wimbo ninao usikia kwenye cd fulani? Ni kwa nini wanakosa confidence namna hiyo? Tatizo ni nini!
 
Si bora hiyo.. Mm nakereka na hii kauli.. 'Machizi Piga Keleleeeeeeeeeeee'

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Msanii kama feruzi anaimba juu ya nyimbo alafu badala ya kufuatusha nyimbo yake yeye anaishia kuwalazimisha mashabiki wapigeke keleleam

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mm hadi leo wasanii wengi wananiboa na wao ndio wakwanza kuangalia BET sijui hawajifunzi yanayoendelea huko BET watu wanapiga show ya ukweli snaa huku mara aache na aanza kucheza.
Angalia show za coco beach full upuuzi
 
Wanakera mno!!! unalipa kiingilio halafu ukifika huko Unaanza kulazimishwa "....NYANYUA MIKONO JUUUUU..."
KHA!! kero heri uishie kuwasikiliza tu kama unawapenda
 
mimi wanaoiniboa nikina godzilla kila saa kusema wako "in da house" "zilla is in da house" wakati performance imefanyika uwanjani.....
 
Back
Top Bottom