DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,974
Nimekwambia masikini asiyepata matibabu, asiyeweza kusomesha watoto, asiyeweza kupata walau milo miwili kwa siku ananufaika na nini akiona matajiri wanakuwa maskini? Anachofanya JPM (kukusanya kodi kwa wakwepakodi, kuhakikisha watoto wanasoma bure, kuhakikisha wagonjwa hawalali chinip, kuondoa ushuru kwa wafanyabiashara wadogo, kuondoa wafanyakazi hewa etc) ndo vitu maskini wanapenda vishugulikiwe...Unazidi kudhihirisha ufoolish wako,c utulie tuu mkuu,ushajionyesha ulivyo na akili ndogo then kwa kutumia tena akili ndogo hiyohiyo unajibu pumba..
Daa very sad[emoji23] [emoji23] [emoji23]
???Uliingia kwenye roho zao ukakuta hawana amani?
Hivi hizi shule za kusomea ujinga zinapatikana wapi ambako wengine hatuzipati?
How does it make sense? Ulichokiandika hapo how kina relate na nilichokiandika mimi?Nimekwambia masikini asiyepata matibabu, asiyeweza kusomesha watoto, asiyeweza kupata walau milo miwili kwa siku ananufaika na nini akiona matajiri wanakuwa maskini? Anachofanya JPM (kukusanya kodi kwa wakwepakodi, kuhakikisha watoto wanasoma bure, kuhakikisha wagonjwa hawalali chinip, kuondoa ushuru kwa wafanyabiashara wadogo, kuondoa wafanyakazi hewa etc) ndo vitu maskini wanapenda vishugulikiwe...
NB: Kuwa makini na post zako..huyo mtoto Nasreen (kama ni wako kweli) atakuja kukushangaa sana akikuwa mkubwa...
Umeota?Nyio
Wote nyie mnalia baada ya MTU wenu mamvi kushindwa hapa ukichunguza wengi wanaompenda JPM ni wakaskazini wale Ma CDM wazee wa kupiga walizoea kuishi kwa ujanjaujanja na kujipatia Mali kwanjia za ujanja sasa mianya imezibwa wanabaki kulialia tu.
Basi kama ana akili unapaswa kushukuru Mungu dogo amechukua akili za mamayake...kwa maana nyingine, hakuchukua ujinga wa faza (baba Nasreen)...How does it make sense? Ulichokiandika hapo how kina relate na nilichokiandika mimi?
Huyo mtoto ana akili zakutosha kukushinda chief,bahati nzuri amerithi uelewa,may God bless my Daughter[emoji120]
Nikisoma btn the lines, namuona mugaaaabeee huyoooooooooooo!"Fyatueni watoto nitawasomesha bure" Magufuli.
Hivi nani kamwambia sisi tunataka kufyatua matofali?
Pia tumedhalauriwa kama vile sisi kazi ni kufyatua watoto tu"Fyatueni watoto nitawasomesha bure" Magufuli.
Hivi nani kamwambia sisi tunataka kufyatua matofali?
walioenda shule na kusoma vzr wanauwezo wa kuona hadi moyoni kwako na kukusoma vzr sana Ndugu, hata kuangalia watu usoni unasoma kila kitu chao. ILA KWA ELIMU YAKO YA KUUNGAUNGA NA SUPER GLUE KAMWE HUWEZI ONA HILO.Uliingia kwenye roho zao ukakuta hawana amani?
Hivi hizi shule za kusomea ujinga zinapatikana wapi ambako wengine hatuzipati?
Omba radhi, tafadhali omba radhi, miungu watu sasa mmefikia pabaya, ilifikikia munaiba mabilioni ya watanzania wakati mkitumbuliwa eti tuspige vigelegele hiii ni dharau.HAYA MAKOFI NA VIGELEGELE VYA WATZ NI VYAKIPUMBAVU,
Umeshasikia serikali ya tano imemtumbua MNYONGE????????MOYO WA MNYONGE NI UNA AMANI 100%.Unapokuwa na Mkuu wa nchi wa aina ya JPM, hakuna mtu ambaye ndani ya moyo wake anaweza kuwa na amani kwa asilimia 100.
Sukar na mahitaj kupanda haimuhusu mnyonge?Umeshasikia serikali ya tano imemtumbua MNYONGE????????MOYO WA MNYONGE NI UNA AMANI 100%.
Mr Dhaifu ....,Nyio
Wote nyie mnalia baada ya MTU wenu mamvi kushindwa hapa ukichunguza wengi wanaompenda JPM ni wakaskazini wale Ma CDM wazee wa kupiga walizoea kuishi kwa ujanjaujanja na kujipatia Mali kwanjia za ujanja sasa mianya imezibwa wanabaki kulialia tu.
Acha niendelee kukujibu nikikuacha hutajua udhaifu wako.Omba radhi, tafadhali omba radhi, miungu watu sasa mmefikia pabaya, ilifikikia munaiba mabilioni ya watanzania wakati mkitumbuliwa eti tuspige vigelegele hiii ni dharau.
Nyinyi wala pilau,biriani, na mandi ya minofu ya nyama ndo mnaotumia full cappacty ya brain cells zenu, sisi ugali bwana dona, charge zetu ziko chiiiinii saana eti eee..Acha niendelee kukujibu nikikuacha hutajua udhaifu wako.
Ni hivi,Chunguza maneno yng,tumia akili ya ziada kuyatafakari then utang'amua what i meant,BRO I INSIST U "TUMIA SANA AKILI ANGALAU HATA 2% TUU YA UBONGO WAKO ITAKUSAIDIA,I SWEAR KUNA PERCENT HUITUMII NA HAUJUI KM HAUITUMII"
Ndio atakapo shangaa! Wake kwa waume, maskino na matajiri, wazee na vijaKuna zaidi ya kusomesha. Ana uhakika ataendelea kutawala milele wakati si tuna mpango wa kumpiga chini 2020
Ushauri wangu Ni kuwa, kwakuwa tumeshakosea hatuna namna, lakini tusifanye kosa jingine 2020, Tuunganishe nguvu ili Magufuli 2020 ashindwe kabisa.Kwa hiyo wewe Ndugu yetu 'mpendwa' unatushauri au unawashauri nini???