commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
Boko haram wamevamia mji mdogo wa maiduguri na kuuwa watu wapatao arobaini,nchini nigeria.Ni nini kiini cha mgogoro uliosababisha mauaji yanayofanywa kuua waislam huko CAR?Si kawaida wakristu kuua kwani hawajaahidiwa tuzo na biblia zaidi ya hukumu kwa kuvunja amri ya Mungu!sijui ni kitu gani kimesababisha haya kutokea.Vipi hapa kwetu Tanzania ambapo naona kuna tabia ilianza kujitokeza serikali ikiwaudhi watu wa dini fulani,wanakwenda kuchoma nyumba za ibada za watu wanaowadhani ni adui zao!Je viongozi wanaofumbia macho matukio kama haya hapa kwetu,iwapo yakiendelea,hayatatupeleka huko?Mwenyezi Mungu apishe mbali.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hao waislamu kabla ya kuanza kupigwa na wapigwe tu, wao ndio walianza kuwapiga wakristo. Sasa inaonyesha kuwa wakristo wa nchi hiyo hawataki uonevu na wameamua kuwateketeza wafia dini. Na hili linaweza kuwafungua macho wakristo wengi ambao wamekuwa wakinyanyaswa bila majibu kwenye nchi zingine.
Tuache waisilamu waadhibiwe kwanza, wakatulie ugenini Chad na Cameroon, wakirudi watakuwa wamejifunza kwamba kumbe sio kila mahali unatakiwa kutekeleza mafundisho ya quran ya kuwauwa wasio wa imani ya kiisilamuInakuwaje majeshi ya Ufaransa na yale ya nchi za Kiafrika yakiwa na silaha za kisasa yanashindwa kuwadhibiti wanamgambo wa mitaani ambao "hawajapata mafunzo yoyote" wala "hawajajiorganise"?Amnesty International wametangaza kua mauaji yanayofanywa na Wakristu kuwaua kinyama kwa kukatakata vipande vipande Waislam huko C.A.R(Jamhuri ya Afrika ya Kati) ni mauaji ya kimbari (ethnic cleancing) lengo la wanamgambo hawa wa Kikristu ni kusafisha kabisa kizazi cha Waislam katika C.A.R-Jamhuri ya Afrika ya Kati.Waislam ni asilimia 15.
Inashangaza kwamba hata viongozi wa Kikristu ktk C.A.R-Jamhuri ya Afrika ya Kati hawahubiri tena kuhusu upendo amani na mshikamano bali ni kisasi kisasi kisasi.Nina hakika lau wangewahubiria kua wasamehe kama Yesu(amani iwe juu yake) alivyowausia mauaji ya kuogofya yanayoendelea kila siku tena kwa kushuhudiwa na wanaoitwa "walinda amani" yangepungua kama si kuisha kabisa.Mwenyezi Mungu Apishie mbali tusifike huko.
Ni nini kiini cha mgogoro uliosababisha mauaji yanayofanywa kuua waislam huko CAR?Si kawaida wakristu kuua kwani hawajaahidiwa tuzo na biblia zaidi ya hukumu kwa kuvunja amri ya Mungu!sijui ni kitu gani kimesababisha haya kutokea.Vipi hapa kwetu Tanzania ambapo naona kuna tabia ilianza kujitokeza serikali ikiwaudhi watu wa dini fulani,wanakwenda kuchoma nyumba za ibada za watu wanaowadhani ni adui zao!Je viongozi wanaofumbia macho matukio kama haya hapa kwetu,iwapo yakiendelea,hayatatupeleka huko?Mwenyezi Mungu apishe mbali.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Latest from Central African Republic, (CAR).
#Muzzrats attacking Christians
Qu'ran 2:191 killed them wherever you find them!!
Latest from Central African Republic, (CAR).
#Muzzrats attacking Christians
Qu'ran 2:191 killed them wherever you find them!!
Umesema ukweli kabisa mkuu, binadamu ni wabaya kuliko simbaHakuna cha uKristo wala uIslamu...watu wanauana tuu wanasingizia dini. Hata wasingekuwa na dini wangeuana tu kwa ukabila, na wasingekuwa na makabila wangeuana tu sababu nyingine tofauti! Binadamu hakosi sababu ya kumfanyia mwenzie ubaya..
Tuache waisilamu waadhibiwe kwanza, wakatulie ugenini Chad na Cameroon, wakirudi watakuwa wamejifunza kwamba kumbe sio kila mahali unatakiwa kutekeleza mafundisho ya quran ya kuwauwa wasio wa imani ya kiisilamu
kwanza kabisa futa hiyo dhana ya 'wanamgambo wa kikristu' kwani hakuna kitu kama hicho. waislamu ndio wana mgambo wao wanajiita seleka, hawa waliasi toka jeshini (yani walijikusanya wanajeshi waislamu wakasepa). Tunakosea kusema kwamba wanaojihami nao ni mgambo wa kikristo. ukweli ni kuwa sawa ni wakristo lakini hawajajiunga kwa vile ni wakristo, kutimiza malengo ya kikristo la. wamejiunga ili kupambana na hawa magaidi. Hivyo vitu wanavyofanya haviwezi kuwa attributed to christianity, ila ni vita tu. Kauli sahihi ni wanamgambo wa nchi vs magaidi wa kiislamu seleka.
kwanza kabisa futa hiyo dhana ya 'wanamgambo wa kikristu' kwani hakuna kitu kama hicho. waislamu ndio wana mgambo wao wanajiita seleka, hawa waliasi toka jeshini (yani walijikusanya wanajeshi waislamu wakasepa). Tunakosea kusema kwamba wanaojihami nao ni mgambo wa kikristo. ukweli ni kuwa sawa ni wakristo lakini hawajajiunga kwa vile ni wakristo, kutimiza malengo ya kikristo la. wamejiunga ili kupambana na hawa magaidi. Hivyo vitu wanavyofanya haviwezi kuwa attributed to christianity, ila ni vita tu. Kauli sahihi ni wanamgambo wa nchi vs magaidi wa kiislamu seleka.
uvumilivu umewashinda.
wapigwe hao magaidi.
Ni ujinga gani huu unaoandika!!Ni Qur'an ipi hiyo inayofundisha kuwaua wasio wa imani ya Kiislam?Tatizo lako na wenzako wavivu wa kutafuta elimu na kuuaoma Uislam mnataka tu kuambiwa kuhusu Uislam,hamtaki kuusoma Uislam na sio kuuaoma tu, bali kuusoma kutoka ktk vyanzo hakika.
Uislamu ASILAN ABADAN HAUFUNDISHI kuwaua wasio na imani ya Kiislam.
Haya ni mafundisho ya sheikh mpotofu Muhammad ibn Abdul Wahhab,muasis wa madh-heb ya Wahabi, huyu ni mwanafunzi wa ibn Taimiya.Mafundisho yao ni kua yeyote anayewapinga,awe muislam au asiye muislam ni wajibu auliwe na mali yake ichukuliwe!!.Ajabu ni kwamba hawa Mawahabi wameundwa na Wazungu-Waingereza kwa kumkutaniaha Sheikh mpotofu Muhammad ibn Abdul Wahhab na mtawala wa Hijaz-Saudi Arabia aliyeitwa ibn Saud,huyu ni babu wa watawala wa Saudi Arabia kwa makubaliano huyu wa dini atoe hukumu za kumlinda huyu wa siasa na vice versa.Historia iko wazi kuhusu masuala haya ila sisi hatutaki kusoma na kujua.
UISLAM NI AMANI HAUNA MAFUNDISHO YA KUWAUA WASIO NA IMANI YA KIISLAM.
TUTOFAUTISHE UWAHHABI NA UISLAM.Mwenyezi Mungu anajua zaidi.
hongera sana!unajua sana kupoteza uasilia wa jambo
Latest from Central African Republic, (CAR).
#Muzzrats attacking Christians
Qu'ran 2:191 killed them wherever you find them!!
mi naona na tanzania tuanze vita tupigane wakristo na waislam atakaeshinda ampishe mwenzie