kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Ni nini kiini cha mgogoro uliosababisha mauaji yanayofanywa kuua waislam huko CAR?Si kawaida wakristu kuua kwani hawajaahidiwa tuzo na biblia zaidi ya hukumu kwa kuvunja amri ya Mungu!sijui ni kitu gani kimesababisha haya kutokea.Vipi hapa kwetu Tanzania ambapo naona kuna tabia ilianza kujitokeza serikali ikiwaudhi watu wa dini fulani,wanakwenda kuchoma nyumba za ibada za watu wanaowadhani ni adui zao!Je viongozi wanaofumbia macho matukio kama haya hapa kwetu,iwapo yakiendelea,hayatatupeleka huko?Mwenyezi Mungu apishe mbali.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ni nini kiini cha mgogoro uliosababisha mauaji yanayofanywa kuua waislam huko car?si kawaida wakristu kuua kwani hawajaahidiwa tuzo na biblia zaidi ya hukumu kwa kuvunja amri ya mungu!sijui ni kitu gani kimesababisha haya kutokea.vipi hapa kwetu tanzania ambapo naona kuna tabia ilianza kujitokeza serikali ikiwaudhi watu wa dini fulani,wanakwenda kuchoma nyumba za ibada za watu wanaowadhani ni adui zao!je viongozi wanaofumbia macho matukio kama haya hapa kwetu,iwapo yakiendelea,hayatatupeleka huko?mwenyezi mungu apishe mbali.
Sent from my blackberry 9220 using jamiiforums
Hao nao ni magaidi wa kikristo.
mleta mada anasema Wakiristu we umeng'ang'ana na Wakiristo
Latest from Central African Republic, (CAR).
#Muzzrats attacking Christians
Qu'ran 2:191 killed them wherever you find them!!
Halafu wale sio wanamgambo, ni raia tu wa kawaida wenye hasira kutokana na uchungu wa kuuwawa kwa ndugu zao na Seleka (wanamgambo wa kiisilamu) kipindi walipokuwa wanaitawala nchi hiyo. Seleka waliua wakristu bila sababu za msingi, sasa Seleka walipoondolewa madarakani wahanga wa utawala huo wakapata nafasi ya kuondoa hasira zao kwa kuwatimua waisilamu kwani wamegundua kuwa hawa jamaa hawatabiriki, wakipata chance wanaua watu. Kwa ufupi wakristu waliopoteza ndugu zao ndio wanaowatimua waisilamu, na wala hawajajiorganize na hawajapata mafunzo yoyote hadi wafikie kuitwa wanamgambo