Mwingine alikuwa akiitwa kababayeee,, alikuwa akisema,”” kababaa yeee,, tunasema yeee,, au anaimba,,” kababaa nisogee sogee,,tunajibu “” Songea “”” hahahah ilikuwa raha sana,,, na masiya moteee semaaaaaa,,,tunaitikia “”” masiya moteeeee ‘’ day!! Natamani kurudia yale maisha,, hela ilikuwa na thamani maana kiingilio ilikuwa sh 20,, sisi arusha kulikuwa na sukari guru na kitu ingine inaitwa ngubiti,inatengenezwa na sukari guru,,dah long aisee