nimemsikia, hana jipya hyo kidume gan anaogopa wagen? mwaya we furah km vp tutangaze ndoa maana maisha ya uke wenza yananisha. leo cku ya tatu sijamwona Saint Ivuga kabanwa kwa bi mkubwa CUTE
Charimnglady huyu jamaa muepuke ana bidii huyo...alishawahi kumfuata demu Zanzibar akalamba holadah!..inaniuma sana. ningekupata wewe ningejiita mwenye bahati. Hii thread yako nimeiona leo asubuhi. so umesha ondoka umeelekea wapi? kwani wewe makazi yako ni wapi? funguka mkuu. ntakutafuta kwa hali na mali hata kama miaka miwili ikiisha. Mia
musoma hipi charminglady coz musoma ni kubwa,,makoko,mwisenge kamunyonge,,,,etc..
hahhaha jamani mke mwenza vipi tena mvumilivu hula mbivu jamani mana hukuSaint Ivuga nguo ndio nimeziloweka leo siku ya nne sijazitoa ktk maji mgongo waniuma siwez fua siku za karibuni may be wiki ijayo vumilia tu mpz
hahhaha jamani mke mwenza vipi tena mvumilivu hula mbivu jamani mana hukuSaint Ivuga nguo ndio nimeziloweka leo siku ya nne sijazitoa ktk maji mgongo waniuma siwez fua siku za karibuni may be wiki ijayo vumilia tu mpz
Charimnglady huyu jamaa muepuke ana bidii huyo...alishawahi kumfuata demu Zanzibar akalamba hola
(red) Ni mimi waniambia? ...........nithibitishie kabla sijaenda kuuza nyumba ya urithi
mke mwenza smtym mvumilivu hula mbovu.sa mie ctak mpk kuja kula mbovu. nshamwambia platozoom atangaze ndoa make ntakufa na wivu mtoto wa mwanamke mwenzio!
figganigga, nimefurahi kukuona
mama angu yuko a-town so kafanye book ya dar express mapemaa kwani tìket huwa chache. . . mmama wa kichaga huyo afu unauliza kinywaji chenye rangi we vp?
Ha ha ha! Huyu naona anajaribu kukwepa!!