WanaJF Tukutane Ana kwa Ana

WanaJF Tukutane Ana kwa Ana

Ni wazo zuri kwa ambao wapo serious. Nashangaa jnc watu wanavyomjibu Mzee Edwin Mtei wakati alyealikwa ni Dalai Lama..
 
Silaha mbona wamasai karibu wote Arusha wanazo kiunoni na nyingine mkononi!? Kwa Arusha hayo ni mambo ya kawaida!

Ritz akija A town nabeba MK 4 yangu nijilinde
 
Last edited by a moderator:
MwanaJF Dalai Lama kajitambulisha ni jirani yangu. Nilidhani ni Mkuu wa huko Tibet, akiishi karibu na Mount Everest. Kumbe anaishi hapa karibu na Mount Meru na anaweza kuona Mt Kilimanjaro akiwa nyumbani kwake.

Karibu sana nyumbani Dalai Lama. Tunywe chai au kahawa, tubadilishane mawazo. Huenda ukakubali kuvua gamba kama unalivaa hadi leo. Sisi CDM tunatumia mantiki, sio mabavu.
mmh!magamba @ work.mnataka mtufahamu ili mtufanye kitu mbaya kama mlivyo mfanya Dr.Ulimboka.hunipati ndg.I have chosen to live the life of an invisible human being.ukinikaribia na-vanish.:alien:
 
Asante Mzee Mtei...hayo ni majaariwa inshallah.
 
huku JF kuna mashushu mkikutana tu ujue ndo mwanzo kufuatwafuatwa
 
Du huu kweli mkakati wa magamba kutumaliza. Wamepanga kuwamaliza viongozi wetu wa juu na huku wanataka kutudanganya tuonane uso kwa uso. Hatutaki, tena ushindwe. mlimpigia ulimboka simu hivihivi.
 
Hayo majina yanayotumika hayaeleweki, sasa kukutana si itakuwa balaa zaidi. Maana yawezekana mko ra mwenzio ofisi moja wote mko JF, lakini hujui mwenzio ID yake. Unakuta unayemjibu "pimbi mkubwa wewe" kumbe ni rafiki yako au hata bosi wako...
 
MwanaJF Dalai Lama kajitambulisha ni jirani yangu. Nilidhani ni Mkuu wa huko Tibet, akiishi karibu na Mount Everest. Kumbe anaishi hapa karibu na Mount Meru na anaweza kuona Mt Kilimanjaro akiwa nyumbani kwake.

Karibu sana nyumbani Dalai Lama. Tunywe chai au kahawa, tubadilishane mawazo. Huenda ukakubali kuvua gamba kama unalivaa hadi leo. Sisi CDM tunatumia mantiki, sio mabavu.

Unataka iweje? Au ndiyo mbinu za kuwa ulimboka wote wanaoipa ukweli Ccm? Hupati mtu,
 
Unataka iweje? Au ndiyo mbinu za kuwa ulimboka wote wanaoipa ukweli Ccm? Hupati mtu,
Really!!?? sasa hivi nitalazimika kuwa nachaguwa watu wa kushare nao story humu jamvini, huyu inaonekana viroba vimeshamlevya tena inaonekana ni vya bei bwelele katika makambi ya Jeshi.

Mzee Edwin Mtei Chadema Founder na CCM wapi na wapi!?
 
MwanaJF Dalai Lama kajitambulisha ni jirani yangu. Nilidhani ni Mkuu wa huko Tibet, akiishi karibu na Mount Everest. Kumbe anaishi hapa karibu na Mount Meru na anaweza kuona Mt Kilimanjaro akiwa nyumbani kwake.

Karibu sana nyumbani Dalai Lama. Tunywe chai au kahawa, tubadilishane mawazo. Huenda ukakubali kuvua gamba kama unalivaa hadi leo. Sisi CDM tunatumia mantiki, sio mabavu.



Asante sana mzee Edwin Mtei kwa ukaribisho wako.Binafsi ninaamini kabisa kuwa ni wewe mzee wetu muasisi wa Chadema kutokana na mada zako ulizokuwa ukichangia wakati wa uchaguzi wa 2010 tofauti na wengine ambao wanakutilia shaka,siwalaumu, nao wana uhuru wa kueleza yaliyomo nafsini mwao.Ningependa sana kukutana na wewe Na kuweza kupata busara zako na natawasiliana nawe siku nitakayotembelea Arusha kwa kuwa nakumbuka kuwa hata marehemu baba wa Taifa aliwahi kutamka wazi Kuwa kama kuna chama kilichokuwa makini na kitakachoweza kuisumbua CCM basi chama hicho ni CHADEMA,ninapenda kujifunza mengi sana kutoka kwako mzee Mtei.Tutawasiliana nitakapokuwa maeneo hayo,asante sana..
 
Last edited by a moderator:
Du hiyo siku tukikutana itakuwa vichekesho sana kwani hatutaamini mtu na umbo kubwa but humu jamvini anavyoongea pumba
 
Huwa nawaza pale zamani nilipokuwa mtoto nikitembea bila viatu nilijikwaa kuhumia kucha za vidole vya miguu!!
Nakumbuka bale nilipo kuwa mtoto nikiunda zana zangu zakuchezea nipo jipiga nakitu kizito kwenye kucha ya kidole,
Nakumbuka nikiwa mtoto nilipojaribu kujikata kucha kwa wembe napale nilipoikata kucha kwa bahati mbaya!
Hayoyote nikujaribu kukumbuka machungu niliyoyapata wakati nilipo umiza kucha zangu jinsi gani maumivu yalikuwa makali!!!..........Sasa leo ukanitoe kucha kwa koleo??!!halafu unashika kucha unapandisha juu!!!fikiria upatejibu mwili ukisisimka utaona hakuna haja ya kukutana!!!Kila la heri wakutanao!!
 
Mimi naishi magwepande njooni munitembelee usiku ndo sana nakuwepo home.
 
kukutana sijui Ana kwa Ana, sijui Asha kwa Asha kutaneni wenyewe mi mtanisoma humuhumu,ninyi mnapokutana mi ntakuwa mbele ya kaunta napiga tarumbeta tartiiibu huku na browse Jf Mobile!
 
hahahaa..tukutane msitu wa pande kama vp!!!:flypig:
 
Siku nikikanyaga huko kaskazini nitakutaarifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom