Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
Unataka iweje? Au ndiyo mbinu za kuwa ulimboka wote wanaoipa ukweli Ccm? Hupati mtu,
Hivi Edwin Mtei Ni CCM?
Unataka iweje? Au ndiyo mbinu za kuwa ulimboka wote wanaoipa ukweli Ccm? Hupati mtu,
Bia zimepanda bei sasa vijana wanafakamia sana viroba matokeo yake hata hajui thread hii aliyeanzisha ni nani yeye anacoment tu powered by Viroba.[/B][/COLOR]
Hivi Edwin Mtei Ni CCM?
Edwin Mtei
Nilishawahi kukaa na wewe shambani kwako maeneo ya chama ingawa sikuja kama Dr Ngongo wa JF.Nilikuwa katika mkakati wa kutumia jina langu halisi lakini hii issue ya kung'olewa meno bila ganzi imenifanya nisitishe zoezi zima.
This week i will be in town, last time kuna watu sikuwaona hope this time nitawaona wote,
say hi to all!
Tutakutana after 2015 watawala wakibadirika mkuu, maana mbinu yenu sasa hivi tunaiogopa.