WanaJF Tukutane Ana kwa Ana

Edwin Mtei

Nilishawahi kukaa na wewe shambani kwako maeneo ya chama ingawa sikuja kama Dr Ngongo wa JF.Nilikuwa katika mkakati wa kutumia jina langu halisi lakini hii issue ya kung'olewa meno bila ganzi imenifanya nisitishe zoezi zima.
 
Last edited by a moderator:
In my view, the replies to Mzee Mtei's invitation to Dalai Lama,implying that the Party he founded, namely CHADEMA, is the one responsible for the torcher and humiliation of Dr Steven Ulimboka is far-fetched and unconvincing. I suspect it is an attempt by the thugs, determined to perpetuate a regime of plunder and greed which has reduced the majority of Tanzanians into starving beggars.
 
Takutafuta Mzee Mtei tunywe kahawa wote na kashata mwezi ujao takuwa likizo takuja Arusha nikifika takutafuta..

JF Daima.

kabla ya kukanyaga Bengazi jivue gamba kwanza ndio ubishe hodi huku uje umevaa gwanda!
 
Edwin Mtei

Nilishawahi kukaa na wewe shambani kwako maeneo ya chama ingawa sikuja kama Dr Ngongo wa JF.Nilikuwa katika mkakati wa kutumia jina langu halisi lakini hii issue ya kung'olewa meno bila ganzi imenifanya nisitishe zoezi zima.
Kama kuna adhabu za kung'olewa meno kavu kavu, ngoja niondoe picha yangu hapo juu na nitumie Id fake badala ya jina langu halisi la Power George (Power G.)
 
Majibu yanayotolewa kwa Mzee Mtei humu na baadhi ya JF members yanashusha hadhi ya forum. Kama huhitaji kunywa naye kahawa kwa nini upost upuuzi?
Mkuu Saharavoice, unakuja mjini kimywa kimywa tu siku hizi?? hutaki tunywe kahawa one time mkuu??

Anyway, kuna mambo ya kipuuzi sana humu siku hizi...wanaoyafanya mambo hayo ya kipuuzi wanafanya kwa makusudi mazima, ndio purpose yao, kufanya JF ipoteze seriousness ya taarifa zake.

Inasikitisha sana!
 
Last edited by a moderator:
Takutafuta Mzee Mtei tunywe kahawa wote na kashata mwezi ujao takuwa likizo takuja Arusha nikifika takutafuta..
JF Daima.
Kuwa makini ukija Arusha, angalia kauli zako chalii yangu, zisiwe niaje niaje!..Huku hatukawii kukurukia jombaa!
 
Back
Top Bottom