WanaJF shimo limetema

TajiriMutoto

Member
Jun 20, 2012
87
38
............
 

Attachments

  • Aibuuuuuuu.jpg
    Aibuuuuuuu.jpg
    36.5 KB · Views: 1,018
mbona hela ndogo hiyo na wewe??je ukishika mil100 kama watoto wa tunduma si utataka tukuabudu
 
haha!...wallet yako halisi imegandana kabisa unajipa presha na hii iliyotuna!...
BTW unapatikana wap?
 
mbona hela ndogo hiyo na wewe??je ukishika mil100 kama watoto wa tunduma si utataka tukuabudu

Bora hizo ndogo 1.7m inaelekea kuliko 100m za Tunduma. We zisikie hivyo hivyo tu! Zina muda wake zile. Kama ni miaka kumi haya, baada ya hapo una-expire!
 
mbona pesa yenyewe kidogo sana utaweza kweli?sitaki shuruba za kulelea mie.
 
hiyo ni Dola elfu moja tu..! UNATUTISHA NA HELA YA MADAFU...! ingekuwa dola ungekuwa na noti moja tu humo!
 
Back
Top Bottom