Mshahara ushatoka, unahisi watu gani watasumbua mitaani?

IMG_7298.jpg
 
Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe

Ukienda shule za private ambazo ni vinala wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla ya kuajiriwa, tena bila marks ya 85 % to above hupati chance ya kuwa ticha fatilia.

Sasa iweje walimu wa serikali tuwe tunazowa tu wengine nimafailure wa secondari ukimpa log iliyoshiba anakwambia nendeni mkadiscuss kumbe kashindwa

Shida ni kwamba serikali ilikosea tangu uhuru kuruhusu aliyefeli ndoafundishe wanafunzi, aliyefeli kafeli tuu ndio maana hata kwenye maisha walimu wote ni makapuku tu

Thread 'Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?' Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?
 
Watumishi wa bongo Wanazidiwa malipo ya mwezi na housegirl wa uarabuni.
Yaani asiyesoma akapata fursa ya kwenda kuosha vyombo uarabuni anakamata laki 9 kuendelea hii haina makato,sijui nauli,Kodi ya nyumba, chakula,matibabu,nk.
90% ya watumishi wamekopa wanabakia na si chini ya laki 4 kwa mwezi na baada ya kukopa salary advance.
 
Wanajamii, shimo limetema Kwa hawa watu wanaosikilizia mwisho wa mwezi mainly watumishi na viongozi wote wa serikali. Unahisi ni ishara gani ya watu Kwa Leo ukiwaona tu mambo Yao Kwa siku ya Leo utajua salary imetema

Funguka hapa chini.
Kweli mualimu anaweza kuenda holiday ya maana angalau kwa siku 7 mda wake wote wa ualimu, au holiday zao ni kwenye harusi za watu na misiba?
 
Back
Top Bottom