We jamaa mpumbavu tu, hamnazo kichwani yaani namaanisha ww ni punguani seriously! umenichukiza sana nimekumind seriously aiseeHivi umesoma content? kuna mahali nimesema nina mkataba na mwajiri? naomba wajibu walionielewa. usi mislead
umemshauri kiutu uzima sana na kwa lugha maridhawa yenye kueleweka...sasa ni juu yake tu kufanya uamuzi ulio bora kwake.Huja sign mkataba maana yake huna ajira, kwa hiyo ni juu yako kuamua kurudisha pesa uliyokopeshwa na kujiunga na kampuni B kama kama kipaumbele chako ni Masilahi (Mshahara mnono) lkn kama interest yako ni kufanya kazi na kampuni A bila kujali tofauti ya mshahara unaopata basi waweza kuamua kuendelea na kampuni A sbb ulisha ridhika na kiwango walichokutajia mambo mengine yatajulikana mbele ya safari hasa uchapakazi na weledi wako utakuongezea kipato
Mimi mwenyewe nimemshangaa huyu mleta uzi,alafu jamaa kajaribu kuelezea vizuri kabisa yeye anakuja kumsemea maneno ya kuudhi.Kwanza kazini wiki moja alafu una mkopo tayari,Upo kazini lakini hujasaini mkataba na mwajiri wako lakini anakupa mkopo.Ptuuuuuuuuu!!we umeuliza mtu anajaribu kukujibu af unamjibu hivo...basi usingeuliza
mi unisamehe tu kuwa sitahangia hija yako iila kuhusu Muha mmoja anaweza kubishana na abiria wote wa 3rd class kwenye behewa moja Tbr mpk Kgm. Ni kweli?Nimepata kazi sehemu 2:
- Zote ni kampuni changa
- Nina wiki 1 kwenye kampuni A na tayari nina mkopo wa nusu mshahara
- Kampuni B imetoa ofa ya mshahara mara 2 ya kampuni A
- Sina hela za kulipa mkopo wa kampuni A
- Kampuni B nimewaambia kuwa nilikuwa sijaajiriwa
- Bado sijajaza mkataba na kampuni A, na atakuwa adui kama akijua ninaondoka
NIFANYEJE?
Si kosa lako ndiyo tabia za watoto mliozaliwa kwenye madanguro...Pacodecor mmemzika? Poleeni sana mmeondokewa na mtu muhimu katika chama chenu
kenge wewe mtu anajitolea kukuelekeza alaf unajitia punguani Kamwambie mkeo akupe ushaurHivi umesoma content? kuna mahali nimesema nina mkataba na mwajiri? naomba wajibu walionielewa. usi mislead
Hukosa yote, mwache..."Mtaka yote kwa pupa ...................... "
Hata kama haipo kwenye terms, kisheria, inajulikana kua mkopp una implied implication ya kulipwa. Sio lazima utamkiwe au iwepo kwenye mkataba.Kwa vyovyote vile kuwalipa haiwezi kukosekana kwenye terms of contract....
Mbona hujielewi,sasa kama hauna mkataba na hiyo kampuni A maana yake wewe ni kibarua,sasa ushauri gani unataka hapa?Hivi umesoma content? kuna mahali nimesema nina mkataba na mwajiri? naomba wajibu walionielewa. usi mislead
Tamaa lazima zikuingie wiki moja ushakopa ushaanza kulamba nusu mshahara kuna nn hapo kama sio kutafuta maslahi kinguvuNimepata kazi sehemu 2:
- Zote ni kampuni changa
- Nina wiki 1 kwenye kampuni A na tayari nina mkopo wa nusu mshahara
- Kampuni B imetoa ofa ya mshahara mara 2 ya kampuni A
- Sina hela za kulipa mkopo wa kampuni A
- Kampuni B nimewaambia kuwa nilikuwa sijaajiriwa
- Bado sijajaza mkataba na kampuni A, na atakuwa adui kama akijua ninaondoka
NIFANYEJE?
swissme,wewe ndiye Nelson Richard!!??wewe dada yangu mbona unanitukana ?.
swissme
Nenda kampuni inayolipa marambili waelekeze wanachofanya wananunua denilako mnakatana mshahara huko hukimbiimaana mkatabawake watakufinya vilivyo waombe kama wanathamini posn yako wananunua deni lililobakia wanalipa kazi ikokwakoNimepata kazi sehemu 2:
- Zote ni kampuni changa
- Nina wiki 1 kwenye kampuni A na tayari nina mkopo wa nusu mshahara
- Kampuni B imetoa ofa ya mshahara mara 2 ya kampuni A
- Sina hela za kulipa mkopo wa kampuni A
- Kampuni B nimewaambia kuwa nilikuwa sijaajiriwa
- Bado sijajaza mkataba na kampuni A, na atakuwa adui kama akijua ninaondoka
NIFANYEJE?
Ndohuyuswissme,wewe ndiye Nelson Richard!!??