WanaJF ingilieni kati huu msala

WanaJF ingilieni kati huu msala

Huo ni mkopo au advance ya mshahara? Acha uongo wewe kwanza ukiajiriwa lazima ulipwe pesa ya kujikimu kabla ya mshahara? Halafu ni kampuni gani inayomkopesha mfanyakazi hata miezi mitatu hujamaliza?
 
Ni sawa na unaishi na mwanaume na unamipango nae mizur na endelevu,unatongozwa na mwingine tena akiwa ndan ya range unaanza kumuona wa ndan km anakasoro hv unatafuta sababu ya kumuacha na kwakua hamkufunga nae ndoa ndo unataka kupatumia km udhaifu.hadithi hii inatufundisha nn???
1.usiache mbachao kwa msala upitao.
2.usidharau dafuu embe tunda la mcsimu
3.usitupe keki kwa uroho wa bagia.
4.mwenda tez na omo marejeo ngamani
5.ndege walio juu ya mti si mali yako
6.heri shika moja kuliko kenda mia
7.mtaka nyingi nasaba hupatwa mingi misiba.
~Vizur watoto wazur somo linaishia hapa tutaonana keshoo
 
Back
Top Bottom