KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,528
- 89,053
Huoni vipepeo weusi wanaweza kukufungia mkia!,unajua unaenda kukutana na mwana jf kumbe mwana mweusi..😂Sasa hata niandike mimi ni msagaji usagaji wangu wewe unakudhuru nn...just read it,comment then move on na mambo mengine.Huwez ukatajirika kwa kuishupalia tabia ya member wa jf