Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,815
- 10,702
Ahsante mama
Inabidi nlivalie njuga hili![]()
Utanambia wapi tufanye makutano yetu
Ahsante mama
Inabidi nlivalie njuga hili![]()
2016 siyo mbali mkuu?
ni mbali sanaKabisaaa.Kuonanaaa
Hyatt regencyEnheee kwahiyo tunakutana wapi jamani?
Waoga utawajua tu😃😃Haya mambo ya mitandaoni, tuyaachie mitandaoni tu.
Dom kama DomSure girl. Watu waonane kwenye wings zao. Mimi niko Dom wa Dom wake tuweke mpango wa kuonana.
Watu wanaogopa kukutana humu!sijui kwa nini!Enheee kwahiyo tunakutana wapi jamani?
Hyatt regency


kuna chimbo letu pale kumekucha@Shunie@Mzigua mmewamis mnoo!!!mnooooo!!!Sisi mashangazi tunaangukia wapi?Makundi matatu tu
20 - 29
30 - 49
50+
Kwa kweli je tubebe na wajukuu zetu?Ameandika 50+ maana yake utakutana na wenzio hukohuko