Wanajeshi wengine watatu wa Tanzania wafariki dunia huko Sudani

Wanajeshi wengine watatu wa Tanzania wafariki dunia huko Sudani

Poleni sana watanzania wenzangu. Tunaambiwa jitihada zitafanyika kuchunguza ni akina nani walihusika ili hatua zichukuliwe dhidi yao. Kama wachunguzi wanatafuta clues, wasisite kulichunguza na hili lijamaa lililosema 'I will hit you and you won't know who has hit you'.
 
Nimefurahi sana kusikia hii mijibwa koko imeuliwa... Damu ya wanaMtwara haiwezi kupotea hivi hivi.... Yaendelee kufa tu...
 
Hii inaonyesha ni namna gani tulivyo na jeshi weak, jeshi la walevi, jeshi la wapenda ngonoo, jeshi la wazinzi, jeshi lisilo na mafunzo ya kivita... Kazi wanayoijua ni kukaa "mess" na kunywa pombe tu... Wamezoea kutumiwa na ccm kama majibwa koko... Kazi wanayoijua ni kupiga wananchi tu pindi wanatotumwa na ccm, sasa huko Sudan wamekuta na "wanaume" wanaishia kufa kama kuku....

So utaweza kuthibitisha kwamba Wanajeshi wetu ni Mbwa koko? (newreply.php?do=newreply&p=6840743)

IP adress? MAC adress? Physical Location!.
 
Tufikie mahala tuwe na mshikamano na utaifa mbele itikadi za kisiasa tuziweke pembeni!Hivi kazi za jeshi nini?Hivi nyie mnataka wanajeshi wetu wawe wamekaa tu nchini bila kazi yoyote?Mimi nafikiri kwenda kulinda aman kwenye nchi zingine ni njia mojawapo ya kuliimarisha jeshi letu!

Katika majeshi kuna vitu vinaitwa 'tactics', 'fieldcraft' na pia kuna msemo wa kijeshi usemao 'THE MORE YOU SWEAT IN PRACTICE THE LESS YOU BLEED IN BATTLE'
ndugu yangu jeshi imara mara zote linaanzia kwenye dira imara ya nchi, iliyoshikamana, kisha inakuja kwenye jeshi imara lililoiva. jeshi ilikuwa zamani aisee... siyo siku hizi. nchi haina mwelekeo. wanajeshi wetu wanatiwa morali na kitu gani? pesa? ufisadi? Jeshi letu sasa limekuwa la kulinda maslahi ya watawala, na SIYO JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA. moja ya majeshi makali kuliko yote duniani ilikuwa ni jeshi la Israeli. hili lilikuwa na morali ya hali ya juu sana, nadhani kuliko jeshi lolote duniani. ila na wao siku hizi wanapora ardhi za wapalestina nao wamepoteza uelekeo. silaha bora sawa, lakini morali ni namba moja.

Halafu njoo kwenye mazoezi ya kivita. askari wetu sasa hivi ni wajasiriamali tu. huo ndio ukweli. tusifiche makosa kwa kisingizio cha UZALENDO. Tunahitaji jeshi dogo na bora. lakini nafasi za jeshi imekuwa za kupeana kama tunavyopeana u-DC. ndio maana hadhi ya DC imeshuka sawa na mlaji fulani tu. Wanajeshi nao wanatafuta hisa na ulaji kwenye mikataba feki. hapo hakuna jeshi. ni ulaji tu.

Sikatai wanajeshi wanaweza kuuawa katika vita, tena kwa wingi tu, lakini kwa jeshi tulilonalo sasa hivi, kuuawa huko wala si kwa ushujaa.
 
So utaweza kuthibitisha kwamba Wanajeshi wetu ni Mbwa koko? (newreply.php?do=newreply&p=6840743)

IP adress? MAC adress? Physical Location!.

Kwanza nianze kwa kukuuliza, Je, unajua maana ya mbwa koko?
 
mbinafsi mkubwa wewe, naumia sana kama kijana ninavyoona mateso ya watoto na wanawake wa kikongo wasiokuwa na hatia wanapvyouliwa kikatili kwa masilahi ya mtu moja kagame.

Stop pretending! Na wale wanawake na wasichana wanaobakwa, kumimbiwa, kuambukizwa VVU na kuharibiwa nyeti zao kule Ntwara huna uchungu wala huruma nao? Think BIG man!
 
It's time to withdraw our military personnel from South Sudan.We cannot afford to keep losing our men and women in uniforms this way,Like seriously!!!??

Mkuu mbona umedandia treni kwa mbele? Wanajeshi wetu hawako South Sudan, wako DARFUR ambako ndiko hao saba wamefia. Wewe South Sudan umeitoa wapi?

Tiba

Tiba
 
stop pretending! Na wale wanawake na wasichana wanaobakwa, kumimbiwa, kuambukizwa vvu na kuharibiwa nyeti zao kule ntwara huna uchungu wala huruma nao? Think big man!

yatanzania waachie watanzania, chamsingi tumeshaanza kumwadhibu kagame mpaka anaweweseka eti jeshi la un linavaa kombati za drc. Moto hauzimiki sasa ni nginje nginje mpaka kigali mwambie slimu boy ajiandae ! Wahutu mnaowabagua ndio hao hao watakaowamaliza.
 
mkuu mbona umedandia treni kwa mbele? Wanajeshi wetu hawako south sudan, wako darfur ambako ndiko hao saba wamefia. Wewe south sudan umeitoa wapi?

Tiba

tiba

ameanza kuweweseka kama bosi wake kagame, eti majeshi ya un yanavaa kombati za majeshi ya kongo!
 
TUME imeundwa ili kuchunguza kama RED BRIGADE ya CHADEMA inahusika. Kama ikibainika kwamba wamehusika Tendwa 'ataifuta' Chadema. Chezea intelijensia wewe!
 
tume imeundwa ili kuchunguza kama red brigade ya chadema inahusika. Kama ikibainika kwamba wamehusika tendwa 'ataifuta' chadema. Chezea intelijensia wewe!

wahusika ni rwanda, tume ya uchunguzi ni katika kutafuta uhakika tu.
 
Tufikie mahala tuwe na mshikamano na utaifa mbele itikadi za kisiasa tuziweke pembeni!Hivi kazi za jeshi nini?Hivi nyie mnataka wanajeshi wetu wawe wamekaa tu nchini bila kazi yoyote?Mimi nafikiri kwenda kulinda aman kwenye nchi zingine ni njia mojawapo ya kuliimarisha jeshi letu!
Umenena vyema mkuu.....natamani ungewaambia hayo wana-Mtwara.
Tuwasiliane nikuandalie utaratibu ukawape hilo neno wamakonde....
 
Vijana wetu wa JWTZ hawana mazoezi ya kivita ya kutosha. Vijana wetu wengi wa JWTZ wanaota vitambi na kupiga raia mateke ama kwa kutumia mikanda ya jeshi.
Tuwape mazoezi ya kivita ya kutosha na kuwafundisha nidhamu pamoja na maadili.
Siyo vizuri sana kusemea kitu ambacho huna uhakika nacho sawasawa. Majeshi yetu yana mafunzo mazuri tu ambayo yana viwango vya juu ndiyo maana kwa mfano pale Monduli wanaenda maafisa kutoka nchi mbalimbali.. Kumbuka kuwa hawa askari walikuwa kwenye mwamvuli wa Umoja wa Mataifa na baadhi yao hawakuwa na silaha (Polisi) kufuatana na sheria za Umoja huo. Hata walioruhusiwa kubeba silaha hazikuwa 'nzito'.
 
mbona unajishauwa? kongo ni lazima iwe huru kawa gharama yoyote ile!

Huko tegemea kupokea maiti lukuki za wanajeshi wako. Wanafikiri DRC au Sudan ni mtwara siyo? Watalijuwa jiji...
 
Huko tegemea kupokea maiti lukuki za wanajeshi wako. Wanafikiri DRC au Sudan ni mtwara siyo? Watalijuwa jiji...

Hapana siyo Mtwara lakini kwanini mnalalama sana nyie si mabigwa wa vita tena waisrael weusi? maana mnasema nyie siyo waafrica ila ni ma jews! hahahahahaha! watusi manamatatizo sana.
 
Back
Top Bottom