Wanajeshi wengine watatu wa Tanzania wafariki dunia huko Sudani

Wanajeshi wengine watatu wa Tanzania wafariki dunia huko Sudani

Nchi hii ni ya tume mpaka chadema itakapochukua madaraka.
 
Wanajeshi wengine wadaiwa kufa Darfur

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya JWTZ, kimesema kuwa askari hao wamefariki dunia baada ya jitihada za madaktari kuokoa maisha yao kushindikana.

MTANZANIA ilipomtafuta msemaji wa jeshi hilo, Kanali Kapambala Mgawe kuzungumzia taarifa hizo, alisema hakuna taarifa zozote zinazoonesha kuwapo na ongezeko la idadi ya vifo vya Darfur, Sudani.


Vyombo vyetu vya habari hata havieleweki.

Kama Mtanzania ina chanzo cha kuaminika kutoka jeshini kulikuwa na haja ya kutafuta msemaji wa jeshi kuzungumzia taarifa hiyo?

Ina maana hawaamini chanzo chao cha jeshi wanachodai ni cha kuaminika?

Aliposema kuwa hakuna taarifa zozote za kuongezeka kwa idadi ya vifo, Mtanzania ilimwuliza mbona chanzo chao cha kuamiminika kutoka jeshini kinadai jeshi lina taarifa?
 
R.I.P wapiganaji wetu, tatizo serikali yetu ya kipumbavu, wanaingia mikataba ambayo haina tija irimladi kutimiza wajibu.

Mkuu ukiwa member wa UN lazima uplay part Tz walisaini kulinda. So, sio upumbavu tungekuwa developed au tuna pesa tungesain may b financial aid but we dnt hav money.
 
It's time to withdraw our military personnel from South Sudan.We cannot afford to keep losing our men and women in uniforms this way,Like seriously!!!??

unataka waende mtwara wakabake acha wapukutike..
 
Ni wakati wa kuwa pamoja na majeshi yetu yaliyoko kule Sudan. Ni lazima tuelewe kuwa diplomasia, ulinzi na usalama vinakwenda pamoja. Eneo waliloshambuliwa liko chini ya uangalizi wa vikosi vya Tanzania. Jambo la kutia moyo ni kuwa majeshi yetu yaliweza kupambana kufa na kupona kujiweka salama hadi vikosi vya uokozi (ETs) vilipokuja kuwakomboa.
 
Mpeleke mamako auawe ndipo itakuwa huru vizuri.

mbinafsi mkubwa wewe, naumia sana kama kijana ninavyoona mateso ya watoto na wanawake wa kikongo wasiokuwa na hatia wanapvyouliwa kikatili kwa masilahi ya mtu moja kagame.
 
Mwanajeshi ni mpiganaji na ajira yake ndio hiyo ya kushika bunduki na kumpiga adui,ukimuwahi adui heri,akikuwahi ndio kama hivyo tena lakini ndio ajira yao hiyo,so sishangai sana zaidi ya kuwapa familia zao pole.

Kwanza wengi wa wanaoingia jeshi sasa hivi ni wale "waliofanyiwa mipango", yaani mtu alitakiwa awe PS, Nurse, Changu, Mwalimu, Mwanasheria, Miss World nk, eti anakuwa mjeshi kwa sababu moja au nyingine fani iligoma! Sasa ujasiri na machale ya kijeshi hana, yuko pale kupokea amri ya -------- ya "kupiga tu" ili mwisho wa mwezi achukuwe chake aweke mfukoni.

Fanya utafiti kidogo utakuta mjeshi yuko nyoronyoro anaweza kupigwa na raia mmoja tu mangumi mpaka akimbilie wenzake, kwanza askari wa aina hiyo enzi zile za Mwalimu akienda kushtaki anakula 45min extra drill ili awe mkakamavu siku nyingine awe ngangali hata kwa raia 10! Siku hizi akienda kuwambia wenzake wanakuja kama mvua kwani wote ndiyo walewale!

Pia hao askali walikwenda kulinda amani, wengi "walipigiwa pande" au waliomba kwa njia mbalimbali ili waende kuzivuna za UN na wakuwachakachua kama Nshimbo hayupo! Wamekwenda wakiwa na mawazo kuwa siku wakirudi tutawakoma wakasahau kuwa wako kwenye mazingira hatarishi. Matokeo yake ndo hayo! Utasikia wanaomba kurudi nyumbani!
 
Vijana wetu wa JWTZ hawana mazoezi ya kivita ya kutosha. Vijana wetu wengi wa JWTZ wanaota vitambi na kupiga raia mateke ama kwa kutumia mikanda ya jeshi.

Tuwape mazoezi ya kivita ya kutosha na kuwafundisha nidhamu pamoja na maadili.
 
[h=1]"I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You". Rwandan General Paul Kagame[/h]
 
Hawa waasi maisha yao yote ni vita.hawa wakwetu uzoefu wao ni kwenda kupiga raia wa Mtwara wanaodai rasilimali zao zisichukuliwe na wachina,unategemea nini?
 
Kama unategemea mazoezi ya kupiga traffic police barabarani na raia wasio na silaha Mtwara utaweza kweli kupambana na waasi wazoefu?
 
'Ua tu'---by Mr --------. Ngoja wauliwe ili kulipa ile damu ya wanamtwara wanaobakwa, kuteswa na kuuawa kila kukicha.

Halafu nasikia wameuawa kipuuzi sana. Eti waasi waliiba magari yao manne (walikuwa wapi wakati wanaibiwa? Wazinzi wakubwa!). Baadaye wajeshi wetu wakawa wana-track wezi mpaka wakakuta magari yameegeshwa mahali fulani mbali na kambini kwao. Wakataka waende kuyachukua magari yao kama zuzu anavyookota almasi ardhini! Kumbe waasi wamejificha (wanatumia magari kama chambo) hapo karibu. Ngoja wawashtukize na kuanza kuwaua! Bahati nzuri waasi hawakuwa na risasi za kutosha vinginevyo wangewaua wote.

Yaani wajeshi wameibiwa magari yao na waasi, wame-track wezi na kuyakuta magari yao yameegeshwa mahali, halafu wanaenda kuyachukua kibwege kama vile walivyozoea kuchukua magari ya raia hapa nchini? Wapuuzi wakubwa! Ni wanajeshi gani hawa wasiokuwa na akili? Anyway, ngoja wauawe ili wapate akili. Si walienda vitani kusaka dola za marekani? Shenzy type!
 
Back
Top Bottom