kwa masilahi ya nani? nani anazuia uhuru wao? nyie wabongo mmejiingiza kichwachwa yatawakuta.
hivi hao jwtz nani aliwatuma huko? wako kwa maslahi ya nani? hata wakiuwawa wote wakome!
Mimi sijajua utaratibu wa kupeleka askari wetu nje ya nchi kwa shughuli yoyote ukoje. Nia uamuzi wa rais, baraza la mwaziri au bunge? Na je ni lazima tukiombwa kupeleka wanajeshi lazima tupeleke? Wasi wasi wangu ni kuwa tusije poteza idadi kubwa ya askari wetu bila faida yoyote. Maneno ya kutufariji kwa kusema "wamekufa kishujaa" si ya kweli. Shujaa huwa hafi!
Hijafikwa na msiba, otherwise usingesema haya!hata wakiuwawa wote wakome!
mzoea vya kunyonga,vya kuchinja haviwezi,tuwaombee warudi salama waje kutuliza ghasia mtwara
Mimi sijajua utaratibu wa
kupeleka askari wetu nje ya nchi kwa shughuli yoyote ukoje. Nia uamuzi
wa rais, baraza la mwaziri au bunge? Na je ni lazima tukiombwa kupeleka
wanajeshi lazima tupeleke? Wasi wasi wangu ni kuwa tusije poteza idadi
kubwa ya askari wetu bila faida yoyote. Maneno ya kutufariji kwa kusema
"wamekufa kishujaa" si ya kweli. Shujaa huwa hafi!
Hijafikwa na msiba, otherwise usingesema haya!
Tufikie mahala tuwe na mshikamano na utaifa mbele itikadi za kisiasa tuziweke pembeni!Hivi kazi za jeshi nini?Hivi nyie mnataka wanajeshi wetu wawe wamekaa tu nchini bila kazi yoyote?Mimi nafikiri kwenda kulinda aman kwenye nchi zingine ni njia mojawapo ya kuliimarisha jeshi letu!