Wanajeshi wengine watatu wa Tanzania wafariki dunia huko Sudani

Wanajeshi wengine watatu wa Tanzania wafariki dunia huko Sudani

Ndo kaishaanza hivi kutupeleka kuzimu mmoja mmoja..! He has full support from Kenya, Uganda, Malawi na Burundi..! Chezea pua ndefu weye..! Kwa upande mwingine at least he will keep JK busy na ataisahau Chadema japo kidogo..!

propaganda za kigali, mtaandika sana, umoja wetu haujanza leo!
 
Huyu Jamaa ni Mtaalamu wa Medani za Kivita.Ni Generali wa Msituni Kivitendo si Mezani.Anaelewa Mikakati ya Ushindi.Amefanikiwa kuwashawishi Marais wa Afrika Mashariki kutususa.Anatenda anachodhamiria na ni Mjanja sana Kimbinu.Si ajabu akafadhili Waasi kushambulia Majeshi ya Tanzania popote pale Duniani.

kama ni mjanja kelele za nini? kishindo kidogo tu, mavi matakoni, eti askari wa UN wamevaa magwanda ya kongo na kuishambulia rwanda! kigali ataiona ya moto.
 
Siyo vizuri sana kusemea kitu ambacho huna uhakika nacho sawasawa. Majeshi yetu yana mafunzo mazuri tu ambayo yana viwango vya juu ndiyo maana kwa mfano pale Monduli wanaenda maafisa kutoka nchi mbalimbali.. Kumbuka kuwa hawa askari walikuwa kwenye mwamvuli wa Umoja wa Mataifa na baadhi yao hawakuwa na silaha (Polisi) kufuatana na sheria za Umoja huo. Hata walioruhusiwa kubeba silaha hazikuwa 'nzito'.

Unasumbuka na huyo m .p.u u. z!
 
wacha wachapye huko.kwani tunajitia sisi tunajua sana vita.Siku hizi kuna sayansi na teknologia .husimdharau mtu hata kidogo.Nasema tutachapya sana sana .subiri utaona .wale jamaa wa kongo wapo vitani nenda rudi.wanaishi porini .kila mara wapo kwenye mazoezi.
 
Inabidi waandishi wetu na wahariri wa magazeti wawe makini hasa wanapoandika au kuelezea picha za habari hasa zinazoelezea majeshi yetu. Katika picha zilizotoka katika gazeti la The Citizen ('Issue no. 2854) la tarehe 17.07.2013 na gazeti la The Guardian ('Issue No. 5764') la tarehe 16.07.2013 wamemwelezea afisa wa jeshi la Tanzania anayeonekana (mwenye cheo cha Luteni Jenerali ) kuwa ni Luteni Jenerali Paul Ignace Mella wakati alikuwa Luteni Jenerali Wynjones Mathew Kisamba kutoka 'Land forces'. Hata kama tuna 'copy and paste' kutoka Reuters lakini nao wanakosea..
 
Back
Top Bottom