Wanajeshi watoa kichapo mandela road

Wanajeshi watoa kichapo mandela road

tatizo sio elimu ila wanaendekezwa, wengine wana elimu lakini bado hawajui wajibu wao, sasa kumpiga ndo ina maana gani, pia amevunja haki za binadamu sema jamaa kuoga iitakiwa achukue namba zake na amshtaki mahakamani " rule of law" no one is above the law"
 
Duu nawapa pole waliokutwa na kisanga,hao ndio wanadaiwa kuwa wenye nchi bwana ila ni toka siku kadhaa niliona wanasafirisha madudu yao hayo
 
yaani angekuwa aliyepigwa ni either mume wangu au kaka angu au dady ningemtafuta huyo mwanajeshi hadi nimjue ningetumia uanawake wangu na ningemfanya bwabwa shwain
 
Mchezo ndio kwanza unaanza, Raia siku hizi wanachonga sana, ngoja amri ya hatari itangazwe kutoka ndani saa mbili asubuhi kulala saa kumi jioni, tuone hizo wowowo zenu mtatingishia wapi?

div 5 utaiona tu
 
Si sawa kupiga raia,wakumbuke raia ndio wanaowalipa wao mishahara kupitia kodi wanazokatwa,pia wao waliamua kuforce kupita njia ambayo siyo yao.Walipaswa wawe wapole na si kujichukulia sheria mkononi,na kwanin wasisafirishe zana zao mida ya usiku wakat hakuna purukushani nyingi.Kama walinzi wetu wanatupiga adui watafanyanyaje? Pia wakumbuke mafunzo yao ni ya hali ya juu na hawakufunzwa kuwapiga raia.NADHANI WAKATI UMEFIKA KWA BAADHI YA WANAJESH KUACHA KUHARIBU SIFA NZURI YA JESH LETU.

Mimi ni mwanajeshi na nakupa LIKE yenye uzito wa nguvu.
 
Ngoja waingie anga zangu ndo watajua.tatizo watu hawapendi jiweka fiti.
 
Tuwaache kama walivyo, Lukuvi na JK wamesema hawa wakikasirika watapindua nchi!
 
Umetisha kwa kweli

huo upuuzi hauvumiliki,yaani ukipeleka mahakamani watawazungusha sana ila ningedeal nae mimi ningemwambia baby relax am in control aaingerusia maisha yake
 
Wanatumika ki-Siasa..Wanajua kabisa wakifanya hivyo watu wataingia uoga..Sababu ni serikali mbili..

Huu mchezo hata Zanzibar wanautumia sana kipindi cha kampeni..

Rais na Lukuvi Wametoa matamko ...Hayo ni maagizo kutoka juu..
MTWARA usisahau mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom